always,natumia Princes Muro,dar>mwanza,fasta tu,by the way,hiyo green star ni yutong kama zlivyo muro,al saedy nk,zkianza kuchoka bora usafiri na pkpk yako.
Hoja si uchakavu wa gari bali ukosefu wa ushirikiano toka kwa mwenye mali.

Hiyo ni historia. alipokuwa yanaanza (wakati yapo mapya) ndiyo ilikuwa hivyo. Siku yamechoka hakuna mfanoMbona nasikia hayo ndio mabasi bab kubwa ya njia ya mwanza-dar.. Na nauli zake yanamzidi fast jet maradufu