Ushauri

Tatizo le2 ha2jiulizi 2napoanzisha frndshp. Hilo swali ungejiuliza mapema ungepata sln. Bt nw ts 2 late.
 
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, natarajia kumalieza elimu ya chuo kikuu mwaka huu mwezi wa saba. ninampenziambaye kwa kiasi fulan tunapendana, ambaye yeye kwa sasa anamika 25, kwa bahati nzuri tayari yuko kazin kwa miaka mitatu, ni mwalim wa shule ya msingi. ......tatizo langu mm ni nashindwa kuwa na maamuzuzi ya kumtamkia au kudhihilisha kuwa lazima nitamuoa au hapan ................ yeye anaumri sawa na mimi .................tayari yeye yuko kazin kwa mudaa wa miaka mitatu ...................mm bado ni nawategemea wazazi ....................tena ni mwanafunzi PENGINE NITAKUWA NIMEOA AU NIMEOLEWA

:biggrin::biggrin: wala usiwe na hofu kua utaolewa bana....we mwenyewe huyo mwanamke unamjua so utaweza kujua kama mtaelewana au vipi...age sio issue, unaweza pata mwanamke wa 19 akawa ana maishuz ukakimbia..mwanamke kama anakupenda kweli atakuchukulia wewe kama mwanaume wake hata kama huna kazi na atakuheshimu vizuri tu na atakua anakutunza kwa hela mpaka hapo utakapopata kazi yako wewe. Mwanamke akikupenda anaweza hata mshahara wake wote akawa anakupa wewe...so wala usiogope swala ni kwamba mnapendana kwa dhati hilo ndio muhimu na wewe tu ndio unajua hilo
 
Ninachokifiria ni kwamba itakuwa una dem mwingine ambaye umempenda na huyo mwl huna mpango naye sasa kwa kuwa unajiona unaelimu kubwa lzm umtafute unayeendana naye, sababu huna vigezo vya msingi ambavyo vitakufanya ushindwe kumuoa eti umri (25 sawa).:behindsofa:
 
kamata jiko hilo fasta tatizo liko wapi wewe adam na eva walipishana siku na sio miaka kamata goma hilo au tatizo ni kupendana kiasi nini..
Hapo pa adam na eva kaka utakua umeingia chaka maana adam alichukua mda ndio mungu akaona amtafutie mtu wa kufanana nae wa kuweza kukaa nae waweze kuvitawala viumbe vyote vilivyopo ulimwenguni pia case ya mda siku moja ya sasa huwezi kufananisha na mda wa mungu kaka!
 
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, natarajia kumalieza elimu ya chuo kikuu mwaka huu mwezi wa saba. ninampenziambaye kwa kiasi fulan tunapendana, ambaye yeye kwa sasa anamika 25, kwa bahati nzuri tayari yuko kazin kwa miaka mitatu, ni mwalim wa shule ya msingi. ......tatizo langu mm ni nashindwa kuwa na maamuzuzi ya kumtamkia au kudhihilisha kuwa lazima nitamuoa au hapan ................ yeye anaumri sawa na mimi .................tayari yeye yuko kazin kwa mudaa wa miaka mitatu ...................mm bado ni nawategemea wazazi ....................tena ni mwanafunzi PENGINE NITAKUWA NIMEOA AU NIMEOLEWA

Kaka swala la kuoa ni kitu sensitive sana kama unaona kama huyo mwanamke hayupo moyoni mwako tena ni bora ukamweka pembeni,sababu utakapo chukua uamuzi wa kutangaza ndoa wakati upendo wako kwetu for some percent umeshuka itakuja kua kero kwako pamoja na kwake pia coz hatoyapata aliyo kua anayatarajia kwenye ndoa yenu! Ila swala la umri kuwa sawa it's not a big deal!
 
ukweli ni kwamba mapenzi c miaka z how u love someone so ucjali kuhusu miaka au amekaa mda gani kazini angalia jinsi gani anavyokupenda
 
Back
Top Bottom