Recent content by Meatu01

  1. Meatu01

    Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

    Yule mzee alikusaidia mkuu????? make saiv umepata na akupendaye
  2. Meatu01

    Anahitajika Mwalimu wa kufundisha masomo ya Art (HGL)

    mkuu nishakutumia namba pm
  3. Meatu01

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    sizan kwa maana ata jana umeme umekata saa moja jion na kurud usku wa manane na sku izi imekua kawaida tu kukatika kwa umeme apa moshi. Isipokua ile line ya KCMC tu ndio umeme haukatik mara kwa mara
  4. Meatu01

    Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Mbona kama mtoa mada hajaongelea swala kuwache arts???
  5. Meatu01

    Natafuta wanafunzi wa kuwafundisha tuition

    [emoji121] [emoji122]
  6. Meatu01

    Nataka nianze ujasiriamli nikiwa chuo

    Mkuu FAJES nmeshachukua namba ako na nimejaribu kukupigia hujapokea me nipo tayar tutafanya biashar lakin kuanzia mwez wa tatu kwa maana saiv pesa nmeiwekeza kwenye miradi mingine kwaiyo kufkia huo mda nitakua tayar nishapata pesa tena
  7. Meatu01

    Nataka nianze ujasiriamli nikiwa chuo

    [emoji122] [emoji122] nmekuelewa mkuu
  8. Meatu01

    Nataka nianze ujasiriamli nikiwa chuo

    Safi sana nami umeniongezea changamoto katika maisha barikiwa sana mkuu
  9. Meatu01

    Nataka nianze ujasiriamli nikiwa chuo

    Kwa vile unamawazo kama yangu naomba nami nikuoe wazo ambalo mimi nimefanya. mimi ni mwaka wa kwanza na nilichokifanya baada tu ya kuchuku boom ya kwanza nikatuma 600000 sehem kwa ajiri ya kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga uko morogoro ambapo nitalima hekari 2 kwa hela izo ni kuanzia kukod...
  10. Meatu01

    Third Selection Kwa Wanafunzi Wa Advance Waliyomaliza Form Four Mwaka Jana

    Muh!!! yan wengine toka july wapo shule afu hawa ndio waende leo??? ngoja niwe na akiba ya maneno kwa maana ili akatoboe mtihani wa kidato cha sta inatakiwa kujitoa kwa hali isiyokua ya kawaida.
  11. Meatu01

    Natafuta wanafunzi wa kuwafundisha tuition

    kila laheri mkuu
  12. Meatu01

    Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Kila laheri mkuu japo ata mimi nimetafuta shule ya kufanyia field ya chemia na biology sioni mwamko sjui umu ndan hakuna wakui wa shule
  13. Meatu01

    Bob Haisa uso kwa uso na Bi Shakila

    Duh!!!
Back
Top Bottom