Recent content by me2014

  1. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemsaliti mchumba wangu, nimueleze au nitunze siri hii?

    Dah shame on you!usiseme na mimi ni mwanamme nakukandia,ni mwanamke kama wewe.Ila kwa hali hii UKIMWI kuisha Africa si miaka ya hivi karibuni,si tu kwa ajili ya magonjwa ndio ujiheshimu,NI KWA AJILI YAKO PIA.You said it yourself kuwa mchumba wako na rafiki yako wanaheshimiana kama...
  2. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

    wanaume wa sikuhizi sijui wakoje?Sasa kuwatawala wake zenu tu mmeshindwa sasa mnataka kumtawala kila mmoja.Mwanamke wa mwingine akivaa wigs/weaves wewe kinakuhusu nini?Ilimradi akirudi ndani kwake mumewe anaona hizo nywele zake za asilia kwasababu hatolala na hilo wig wewe wa nje inakuhusu nini...
  3. me2014

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

    - Natanguliza samahani kwani najua nitakukwaza.Hivi wamchukiaje usiyemjua kias hicho??ata kama unamjua kwann ubebe chuki kubwa namna hiyo?au ndo kununua ugomvi?Maneno ya kinywa chako yamejaa kiburi na kujikweza utadhan una mkataba na Mungu.Ukiwa mwenye mafanikio tambua kuwa ni Mungu...
  4. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitabaki peke yangu hadi akili itulie

    Tafadhali badala ya tafadhari
  5. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwangu mwanaume sura sio pesa, pesa ni makaratasi tu

    Shosti mambo
  6. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ulipoambiwa na mpenzi wako mimi na wewe basi ulijisikiaje?

    Yan umenifurahisha bahati mbaya nikajikuta naangua kicheko kwa kumquote mwng badala yako...hahaaa dah kuna watu mmepinda
  7. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ulipoambiwa na mpenzi wako mimi na wewe basi ulijisikiaje?

    Hahhahaa
  8. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ulipoambiwa na mpenzi wako mimi na wewe basi ulijisikiaje?

    Hahahhaaa
  9. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ulipoambiwa na mpenzi wako mimi na wewe basi ulijisikiaje?

    Hahaa nimecheka apo tu "shikamoo kibuti"ama kwel nami nakipa heshima zake
  10. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? ukimuhitaji hakuhitaji na usipomuhitaji anakuhitaji

    Masikin!sijui nikwambie maneno gani ya kukutuliza.Ila jitahid ukae mbal na huyo mtu kwan ataendelea kukupotezea muda mamaa
  11. me2014

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Mashuleni sio sehemu salama tena kwa watoto wetu

    Hiyo shule kama jina lake linaanza na B vilee
  12. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko kidato cha tano sijawahi kufanya mapenzi

    20 tu..mbona midogo,usiharakishe dogo hayo mambo yapo
  13. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wametoa mimba sasa hawana amani wanadaina mtoto "msaada"

    Duh..kwel ni dhambi,Ila are u a saint?Au katk dhambi zote unaona waliotoa mimba ndo wadhambi wakubwa.Cha kushangaza na cha kipekee zaidi.Kwa Mungu hakuna dhambi kubwa wala ndogo.Ni kwa rehema tu.Ila hatutakiwi kujiona wema kuliko wengine
  14. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kanivuruga akili Mno

    Pole mwaya kuna majira ya kila jambo chini ya jua.Na sabb ya kila jambo kutokea.Kwa kuwa tumenyimwa kujua yajayo na muumbaji wetu,hutuwia ngumu kushukuru kwa kila jambo.Litapita tu na utasahau.Mtu sahihi akija utaona ulikuwa ukipoteza muda tuu.
  15. me2014

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti wanawake huwa hawacheat

    Sasa kwa nn niongope ndugu?Am 25
Back
Top Bottom