Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,742
- 1,725
Hii ndio dunia yetu na huyo ndio wanadamu walimo kwenye hii dunia
Huyo anasthili teke la pmb huko kote hajaona hadi aje ale ulipokula wewe?
huo ni usengenyaji....
A-ni-e-yo....
tulishaachana ...Kinachonikaanga Mtima
Ni Kuona Mshauri Wangu Kakamatia ...tena Naona Anakanyaga Kwa Furaha Zote!!
Kama unahonga hebu kuwa na mie nione kama kweliNdo Nini Sasa Hivi Nawe Evelyn Salt
pmb Napiga Mbona
Ila Kwenye Kuhonga...Sijui Wenzangu Wanonga Nini Cha Zaidi!......Kwani Nami Najitahidi Kuhonga Kwakweli!
Teke la pamba, mh, sorry, teke la pumba, nimekosea tena, teke la pimbi!
ha ha ha unaezakuta Majigo ni mkimbiza mwenge tu, kazi kuzunguka nao hana madhara washkaji wanafanya kweli wanamuibiahahahahaha Mwl kuwa na huruma!
aiseee......
una kapollonium au ka acid au hata ka bastola kadogo labda nikushauri cha kufanya..........?.......
huyo jamaa kakuning'iniza tezi dume zako........na usipokuwa makini.......atazing'oa.........chukua hatua haraka........
bora ingekuwa humjui.........
Anajua Kabisa Yule Alikuwa Shemeji... Tena Hata Kesi Ndogo Ndogo Zilizotuhusu, Niliziweka Wazi Kwake Kwa Ushauri Na Msaada Wa Mawazo
Hata Tuliposhindwana Na Huyu Binti!.... Nilimshirikisha ......Na Kwakuwa Nilishavumilia Na Kuchoka Juu Ya Vitimbi Nilivyoangushiwa Na Huyu Binti, Akaafikiana Nami Kuwa Niachane Naye
Baada Ya Miezi Kadhaa......Cha Ajabu Kinachonishangaza Katika Hii Dunia Ni Kumuona Huyu Rafiki Yangu Akiwa Karibu Sana Na Huyu Binti Kwa Kipindi Hiki, Dalili Zinazoashiria Kuna Kitu Kinaendelea......Namaanisha Anamake Love Na Huyu Shemeji Yake
Nifanyeje Jamani?.....Kwani Kaniharibia wikend Yangu
Ahsante Jigo
Kwani kamegewa basi, ye katupa wenzie wameokota...Cha kuokota si cha kuiba....wivu wa nini hapo....
aiseee......
una kapollonium au ka acid au hata ka bastola kadogo labda nikushauri cha kufanya..........?.......
huyo jamaa kakuning'iniza tezi dume zako........na usipokuwa makini.......atazing'oa.........chukua hatua haraka........
bora ingekuwa humjui.........