Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

Eti niwe natural.... Heeee kwani mie msituu 🙅🙅🙅
 
wanaume wa sikuhizi sijui wakoje?Sasa kuwatawala wake zenu tu mmeshindwa sasa mnataka kumtawala kila mmoja.Mwanamke wa mwingine akivaa wigs/weaves wewe kinakuhusu nini?Ilimradi akirudi ndani kwake mumewe anaona hizo nywele zake za asilia kwasababu hatolala na hilo wig wewe wa nje inakuhusu nini sasa?

umjue sura yake halisi ili iweje??mume wake marafiki na ndugu zake wakijua sura yake halisi inatosha.Muda umefika watu wengine mkaanza kujali biashara zenu na si za watu.Masharti unayompa mkeo/mpenzi wako usitake yakawa masharti ya wake/wapenzi wa wengine.Aaarg mtu humlishi na wala humvishi kinachokusumbua nini na maisha yake?Mwache mumewe aseme au mpenzi wake.Lakini kwa upande wako ungemsemea mkeo hauna mamlaka ya kuwaaamulia wake au wapenzi wa wengine.,
 
Hapana, unakosea na umekosea!!

Si tunajadiliana lakini? Kwani hapa amekutaja wewe au mkewe/mpenzi wake?

Kamtaja Fenela Mkangala kwa sbb ya nafasi katika jamii, na ni kweli yule mama yuko natural na hata mm ninampenda.

Sasa, tuambizane. Ni kwanini wanapokuwa ndani na waume/wapenzi (kwa mujibu wa maelezo yako) wanatoa nywele bandia/wawigi na huko mitaani wanazivaa? Ni ili iweje ati? wawavutie wengine nje ya mume/mpenzi wake? Huoni kuwa kuna mushkeli na tatizo hapo??

Kwa maoni yangu; ukiwa nje onesha natural appearance yako, jinsi ulivyo na ulivyoumbwa na Mungu kama alivyo Dr Fenela Mkangala aliyetolewa km reference na mtoa mada na ukiwa ndani onesha kila aina ya madoido na ubunifu wako ili mradi kumvutia na kumtia hamasa mume/mpenzi wako.

NB: Hapa naomba nisisitize kuwa sina maana ya kwamba wanawake wasivae vizuri na kutumia vipodozi vyovyote anavyoweza kupata ili wapendeze na kujiweka vizuri.

Maana yangu hapa ni kuwa si vyema kujipa sura bandia tofauti na uhalisia wake; mfano kujichubua ngozi, kuvaa minywele bandia nk
 
Hivi wanasuka twende kilioni then wanavaa yale madude...eeh!
..Ujaribu sasa kumshika hayo manywele aliyovaa...
..Hivi mkifanya mapenzi inakuwaje, manake kuna vidume vinapenda kuchezea nywele..

tehe...mkifanya mabensi wigi linawekwa pembeni maana haliwezi kuhimili mikiki. Kama zimeshonewa zinaitwa weaving kwa hiyo hazitaleta mushkeli. Hao vidume wanaopenda kuchezea nywele mpaka umri huu watakuwa wameshajua kutofautisha nywele bandia na halisi.
 
Teh...sasa mwonekano wa mtu aliyevaa wigi alafu ghafla akalivua akabaki na kipilipili si taaaabu hiyo..lol.
Manake nitashikwa na butwaa kwanza...hahaaaaa!
 
Hiyo minywele sometimes inaboa sana ila wengine inawakaa vizuri sana. Unakuta mtu kalivaa limemkaa utafikiri zombi.

Ndio unakuta umemuomba mdada mtoke siku hiyo anakuja na minywele hadi pozi inakata unahisi tumbo la kuhara ili uahirishe mtoko maana ni aibu.

Haaahaaahaaaaaa. Hatari sana.
 
Jaribu kujisitiri sana kwa kaul yako, kwani si wote, na utumie singlar & plural, alafu hvo v2 nikuendana na fashion we unataka mtu awe natural hair mpaka z mfanane kiac kwamba akiwa mbal mtu anajua flan anakuja,. Khaaaa!
Fashion kwenye nywele...ujinga huo...mbona wazungu wameridhika na nywele zao tangu kale mpk sasa.
 
Na hayo mawigi ndio yanayopagawisha hadi mnaacha nyumba zetu na kwenda kuyahudumia. Wambeya wakubwa.... mnajifanya hamyapendi wakati mkiyaona suluali zinawatingishika!!!???? Tena wake zenu natural mnaona haya hata kutokanao out.... hovyoooooo kabisaa
Uwongo
 
Hao wenye nywele natural hamuwaangalii hata mara mbili, ndio maana!
 
Na hayo mawigi ndio yanayopagawisha hadi mnaacha nyumba zetu na kwenda kuyahudumia. Wambeya wakubwa.... mnajifanya hamyapendi wakati mkiyaona suluali zinawatingishika!!!???? Tena wake zenu natural mnaona haya hata kutokanao out.... hovyoooooo kabisaa
Chukua tano! Ukweli mtupu.
 
Nina experience ya maisha, nimejifunza tabia za binadamu hasa wanaume. Walio wengi hupenda sana mwanamke mrembo anayejipamba sana kuwa naye popote LAKINI hawapendi wake zao wajipambe maana hujua watapendwa na kushawishika na wanaume wengine!
Jipambe vyovyote usiweke nywele fake
 
Back
Top Bottom