Wametoa mimba sasa hawana amani wanadaina mtoto "msaada"

Wametoa mimba sasa hawana amani wanadaina mtoto "msaada"

n kwel zile tamaa zao zote za kutaka kusoma kupenda ujana zmemezwa na majuto

yote huo ni uoga.....wangazi wanazaa na wanaendelea na shule baadae.....

anyway Mungu awasaidie....
 
n kwel zile tamaa zao zote za kutaka kusoma kupenda ujana zmemezwa na majuto

yote huo ni uoga....wangapi wanazaa na wanaendelea na shule baadae.....

Mungu awasaidie tu.....
 
nashangaaa kwani nani anafahamu ata jinsia yake humu???????????????
 
najiuliza tu........huyo mama ana umri gani? alilazimishwa ama aliamua mwenyewe? kama alikubali kwa hiari lilikuwa ni jambo la kawaida sana kwake aache kupretend kumuumiza mwenzie eti anataka mtoto yeye anachotaka hapo ni aonekane so innocent eti kwamba ajawai kufanya jambo hilo ili kulinda uhusiano wanawake wana roho za ajabu ni wauwaji akuna mfano nasema ivo kwa sababu mengi nayaona kwa mashost akyanani ningepata bahati hiyo Mungu mwenyewe anajua sijui ni vipi ningeshukuru ila wengine wanakatili maisha ya viumbe wasokuwa na hatia inauma
 
Kuna watu wako naive

naive ni neno nzto kupewa kuamin katka chochote unachoambiwa mmh.kifup kutofkria vya kutosha kabla ya uamuz na lazma majuto yatokee.kwa sababu haujajiulza n kosa au sawa.asante KANDIR umetoa neno dogo lakn pana.
 
huwa naomba mungu waliotoa mimba wote kwa makusudi ili tu watimize azma zao ya kukiua kiumbe kisicho na hatia ilhali wakijua ni dhambi na wao wafe, au wasije kuzaa tena.... iwe mwanaume au mwanamke.
 
huwa naomba mungu waliotoa mimba wote kwa makusudi ili tu watimize azma zao ya kukiua kiumbe kisicho na hatia ilhali wakijua ni dhambi na wao wafe, au wasije kuzaa tena.... iwe mwanaume au mwanamke.

ungekuwa Mungu sidhani kama tungepona......uzuri Mungu ni wa huruma na rehema......
 
huwa naomba mungu waliotoa mimba wote kwa makusudi ili tu watimize azma zao ya kukiua kiumbe kisicho na hatia ilhali wakijua ni dhambi na wao wafe, au wasije kuzaa tena.... iwe mwanaume au mwanamke.

Duh..kwel ni dhambi,Ila are u a saint?Au katk dhambi zote unaona waliotoa mimba ndo wadhambi wakubwa.Cha kushangaza na cha kipekee zaidi.Kwa Mungu hakuna dhambi kubwa wala ndogo.Ni kwa rehema tu.Ila hatutakiwi kujiona wema kuliko wengine
 
Hakuna aliyeua na akaishi kwa amani,hata kama ni mimba ulitoa..ni kweli watu wanaenda kutubu,ila je wanatubu katika ROHO na KWELI au ndo muendelezo wakujipa moyo kuwa nimesamehewa??unapotubu katika kweli maana ake nikuachana KABISA na yale yote ambayo ni chukizo mbele za MUNGU na kuacha yale yote yaliyopelekea ukapata hiyo mimba,wewe kama ulishaua kwa kutoa mimba na unaendelea kuishi na bado una tabia zilezile ambazo zilikusababishia kupata mimba nakuua haimaanishi umesamehewa,hata shetani bado anaendelea kuishi,na MUNGU ni kweli ana huruma ila vile vile toba yako inaweza kuwa ni laana au neema kwako,hapo inategemea na matendo yako sasa...ndio kusema wakatubu katika roho na kweli na WAACHE KABISA vitendo vilivyopelekea kufikia hapo,maana wamevunja AMRI(siyo maoni) ya MUNGU...
 
huwa naomba mungu waliotoa mimba wote kwa makusudi ili tu watimize azma zao ya kukiua kiumbe kisicho na hatia ilhali wakijua ni dhambi na wao wafe, au wasije kuzaa tena.... iwe mwanaume au mwanamke.

Kwani wewe hautakufa utaishi milele? acheni kuhukumu watu hapa duniani
 
huwa naomba mungu waliotoa mimba wote kwa makusudi ili tu watimize azma zao ya kukiua kiumbe kisicho na hatia ilhali wakijua ni dhambi na wao wafe, au wasije kuzaa tena.... iwe mwanaume au mwanamke.

Mkuu dua la kuku halimpati mwewe, afu Mungu alivyowaajabu Hana dhambi kubwa wala ndogo. Wote tutahukumiwa kwa kipimo kimoja.
 
huwa naomba mungu waliotoa mimba wote kwa makusudi ili tu watimize azma zao ya kukiua kiumbe kisicho na hatia ilhali wakijua ni dhambi na wao wafe, au wasije kuzaa tena.... iwe mwanaume au mwanamke.

ngoja povu la waliowahi kutoa mimba likumwagikie.!!!

ni wanawake wachache sana hawajawahi kutoa mimba.
hi ni kwa experience yangu ya kazi ninayoifanya.
 
Back
Top Bottom