I second you. Kugongewa mke kinauma vibaya. Inaweza kumfanya mtu kufikiri swala zima la kuoa mara tatu tatu.Mkubwa wangu challenge kwenye maisha yetu ni kama ada and i accept that
Lakini challenge ya mke wangu kugongwa halafu nikajua aiseeeee....................
Una umri gani?Acha urongo!
​Ni aje!? Tia neno usiogope bhanaaaa!
Ooooooops kina mama wametiririka humu......... Kuna kipindi nilikuwa nafurahia na kuenjoy kufanya mapenzi na wanawake wanaowacheat wapenzi wao hivyo mostly nilikuwa nadate wenye waume zao.
Ndiyo Nyani Ngabu wanawake wanacheat sana kuliko unavyoweza kudhani.
I second you. Kugongewa mke kinauma vibaya. Inaweza kumfanya mtu kufikiri swala zima la kuoa mara tatu tatu.
dah! besti tisheeeerrr sanaaarr.
Sio mke tu, kwa maana nyingine kusalitiana kunauma sana Eva.Why mke tu? hivi huwa mnadhan tuna mioyo ya chuma?hata sie tunaumia sana tu...
Ngoja tu niache kwenye mabano ila....(.....)
In my life,this year I have practised it purposely,msiniulize kwa nini
Aisee! Una miaka mingapi kwenye ndoa?
Best I had my reasons ujue ...........
Mwanaume ukitaka kujua kama kina mama wanacheat tafuta wenye waume/wanaume zao ask them out wala usihofu kuwa ana mtu..... Utajionea
Hapo sawa, hebu ngoja nilie ntarudi baadae kuongea....naomba tissue pepa kama unazoSio mke tu, kwa maana nyingine kusalitiana kunauma sana Eva.
nilikuwa napitia umri wa hao wanaotafta michepuko. nimeona kama wengi ni watu wazima..... kumbe n.y.ege hazina umri aiseee.
habari za uzima wako lakini?
hahaha..jamaa keshakipeleka mtaani?..pole!!Hapo sawa, hebu ngoja nilie ntarudi baadae kuongea....naomba tissue pepa kama unazo
siogopi bestie, ila nashangaa tu..!Usiogope besti
Nina miaka 7
In my life,this year I have practised it purposely,msiniulize kwa nini