Recent content by me1

  1. me1

    JamiiForums Tanzania Je, wajua utofauti wa England, Great Britain na United Kingdom (UK)?

    Hizo nchi zina maraisi tofauti au wote wako chini utawala wa kifalme?
  2. me1

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kununua gari, hakikisha unajua bei za spea za gari unalotaka kununua

    Watu mna mawazo ya ajabu sana, had leo bado hamjui link za kununua spare kutoka kokote duniani? Mnataka nchi nzima tuendesge Carina?
  3. me1

    JamiiForums Tanzania Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

    Ulizia na bei ya Taa ya mbele ya Subaru Forester SG ya 2006 au 2007 ulete mrejesho. Kama humiliki hizi gari acha kutisha wengine. Mim namiliki RR na nliipata ikiwa na miles nyingi kidogo. Yes kuna changamoto ambazo pia nlikuwa nikizipata kwenye Subaru na VW as well. Comfortability haijawahi...
  4. me1

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza unga wa mahindi uliosagwa kutoka mikoani na kuleta Dar

    Dona sio hata 10% ya mzigo wote
  5. me1

    JamiiForums Tanzania Biashara za bakery, nafaka na vinywaji

    Habari wakuu,
  6. me1

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza unga wa mahindi uliosagwa kutoka mikoani na kuleta Dar

    Hili jambo halina maaumuzi ya kudumu. Kuamua uzalishie mkoani au Dar inategemea na bei ya Mahindi ya Sehemu zote mbili, Bei ya Pumba ya sehemu zote mbili, Bei ya Unga kwa sehemu zote mbili na hali ya upatikanaji wa mahindi. Weka excel itakayoruhusu mabadiliko ya hizo parameters na itakusaidia...
  7. me1

    JamiiForums Tanzania Natafuta Angel investor ama Business Partner

    unaeza dokeza ni bishara gani au iko kwenye kundi lipi la aina ya biashara?
  8. me1

    JamiiForums Tanzania Kama umeuziwa kiwanja kwenye maeneo haya Dar, anza kujipanga

    sofu vipi wakubwa?
  9. me1

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    tatizo motivators wengi hawafanyi biashara husika practically. Wanasema tu. Anyways, over 60% ya biashara ulizotaja hapo nimewahi zijaribu na nimejipata kwa kitu tofauti kabisa. Kwa ground mambo mi tofauti sana
  10. me1

    JamiiForums Tanzania Nauza Mafuta Ya Alizeti

    Ukinipa reasonable price unaweza kuwa unaeleta yote kwangu.
  11. me1

    JamiiForums Tanzania Nauza Mafuta Ya Alizeti

    Mashudu yake unauzaje?
  12. me1

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kusimamia mradi wa ufugaji

    Hongera sana mkuu, naomba ukifikia hatua ya kununua chakula cha mifugo tuwasiliane nikupe bei za kiwandani
  13. me1

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi tani 32, anayehitaji anicheki

    Bei ya kilo kwa Dar es salaam tafadhali
  14. me1

    JamiiForums Tanzania Katika wote waliopata PhD za heshima, hakuna anayeistahili kama Babu Tale

    Kama hajapewa P Funk bas Tale bado sana
  15. me1

    JamiiForums Tanzania Kitimoto nacho BEI JUU!

    Kigoma 8,000/=
Back
Top Bottom