Natafuta Angel investor ama Business Partner

sangaima

Member
May 16, 2023
9
15
Habari wanajamii forum wenzangu kama kichwa cha madaa kinavyojieleza, Mimi ni kijana wa kiume wa kitanzania mtafutaji na mchakarikaji. Nimefanikiwa kufungua biashara na kupata documents zote za usajili zinazootakiwa ( Brela, TRA nk ) nakufanikiwa kuapata na offisi.

Kutokana na changamoto za maisha nimekwama kwenye mtaji ( operational cost) ambayo ni shillingi laki 7 hivyo basi. Natafuta mwekezaji, partner wa biashara, mkopeshaji wakuiwezesha biahsra kwa kutoa icho kiwango. Nipo tayari kukaa mezani kwajili ya mazungumzo ya juu ya marejesho, faida, riba nk. Nakufuata hatua zote za kisheria zitakazo hitajika.

kwa maelezo zaidi tafadhali naomba tuwasiliane kwa namba hii: 0693258883
 
Habari wanajamii forum wenzangu kama kichwa cha madaa kinavyojieleza, Mimi ni kijana wa kiume wa kitanzania mtafutaji na mchakarikaji. Nimefanikiwa kufungua biashara na kupata documents zote za usajili zinazootakiwa ( Brela, TRA nk ) nakufanikiwa kuapata na offisi.

Kutokana na changamoto za maisha nimekwama kwenye mtaji ( operational cost) ambayo ni shillingi laki 7 hivyo basi. Natafuta mwekezaji, partner wa biashara, mkopeshaji wakuiwezesha biahsra kwa kutoa icho kiwango. Nipo tayari kukaa mezani kwajili ya mazungumzo ya juu ya marejesho, faida, riba nk. Nakufuata hatua zote za kisheria zitakazo hitajika.
Kwa maelezo zaidi tafadhali tuwasiliane kwa : 0693258883
Asante.
 
unaeza dokeza ni bishara gani au iko kwenye kundi lipi la aina ya biashara?
 
Biashara gani?
Ipo mkoa gani?

Bring an interesting story bro!
Hata proposal tunashindwaga kuandaa na tuko na idea nzuri.
Yaani kwa laki saba, utoe unafanya nn?
Laki saba haihitaji angel investor.
 
Hii tafuta vibarua ama Lima bustani mwaka mzima ,Nina uhakika utakuwa na hii hela ndio hapo utakapofanya unachokitaka.
Hela huwa sio rahisi hata Elon Musk bado anahitaji hela nadhani.
 
Habari wanajamii forum wenzangu kama kichwa cha madaa kinavyojieleza, Mimi ni kijana wa kiume wa kitanzania mtafutaji na mchakarikaji. Nimefanikiwa kufungua biashara na kupata documents zote za usajili zinazootakiwa ( Brela, TRA nk ) nakufanikiwa kuapata na offisi.

Kutokana na changamoto za maisha nimekwama kwenye mtaji ( operational cost) ambayo ni shillingi laki 7 hivyo basi. Natafuta mwekezaji, partner wa biashara, mkopeshaji wakuiwezesha biahsra kwa kutoa icho kiwango. Nipo tayari kukaa mezani kwajili ya mazungumzo ya juu ya marejesho, faida, riba nk. Nakufuata hatua zote za kisheria zitakazo hitajika.
Kwa maelezo zaidi tafadhali tuwasiliane kwa : 0693258883
Asante.
Bidhaa gani au huduma unataka kuitoa,?
 
Kijana endelea kupambana na kazi ndogondogo upate hiyo laki 7 mwenyewe vinginevyo hadi sasa ukiachana na hayo makaratasi ya kisheria ni kama vile unachobakiwa nacho ni wazo la biashara tu.
 
Just 700k ??? Anyway, I think you should provide full details of your business (i.e name of your business, what you deal with, location, and so many other) to make your proposal interesting.
 
Fuatilia fedha za maendeleo ya vijana (Youth Development Fund) chini ya ofisi ya waziri mkuu. Mrejesho utatupatia hapa pia.
 
Back
Top Bottom