Recent content by Mduku

  1. Mduku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mchumba nahitaji nimuoe sema sasa wazazi haswa BABA hataki nioe kabila lingine Zaidi ya binti kutoka Kilimanjaro nifanyeje?

    Kaa na mzee wako mzungumze vizuri juu ya Hilo swala then utafakari kwa kina mawazo yake na yako
  2. Mduku

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ukerewe nije mtwara,Lindi wilaya yoyote elimu msingi
  3. Mduku

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

    Pisi wapia naweza pata viatu vya michezo kwa bei za jumla
  4. Mduku

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Naweza kupata wapi mbuzi wa maziwa Niko ukerewe Mwanza
  5. Mduku

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    We nimgeni humu eh
  6. Mduku

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ni wakati sasa wa Wazawa kuanzisha Family Companies na kwenda kujifunza kwa Wasomali

    Umeandika ukweli mtupu ubalikiwe Sana
  7. Mduku

    JamiiForums Tanzania Mabingwa watarajiwa Young african leo Dimbani, mashabiki wa Simba waongoza katka ununuaji wa ticketi!!

    Mwadui FC imesha oza hawana nguvu tena yakupambana na kupata matokeo chanya mbele ya FC MADERA
  8. Mduku

    JamiiForums Tanzania Leo nimetafakari sana kifo cha Rais Benjamin Mkapa

    Mwenye kitabu asambaze upendo [emoji120][emoji120][emoji120]
  9. Mduku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenzangu mnawezaje kuacha?

    Amka boy huyo unaye mpenda na kutaka kumuowa hakupendi na hana mpango na wewe
  10. Mduku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli ni kiongozi mwenye akili nyingi mno haijawahi kutokea hapa Tanzania

    Mleta mada uko na ujinga mingi sana
  11. Mduku

    JamiiForums Tanzania Nani mkali: Luis Jose Miqsonne Vs Mbwana Samata

    LMS ni fundi wa mpira kumzidi SAMAGOAL
  12. Mduku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimefanikiwa kushawishi ndugu zangu kumpigia kura Tundu Lissu

    Unanafasi yako peponi mkuu pamoja tuta weza kwa uwezo wa ALLAH
Back
Top Bottom