Nani mkali: Luis Jose Miqsonne Vs Mbwana Samata

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
31,873
2,000
120199070_1576224512550462_2924417413234905006_n.jpg

Miqsonne

120303513_1460534837667861_2481939213873899487_n.jpg

Samata

Bila kujali timu wanazochezea. Bila kujali nafasi wanazocheza. Kwa kuangalia viwango vyao kwa kuzitendea haki nafasi zao katika timu; nani mkali kati ya Samata na Miqsone
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
12,386
2,000
View attachment 1583630
Miqsonne

View attachment 1583631
Samata

Bila kujali timu wanazochezea. Bila kujali nafasi wanazocheza. Kwa kuangalia viwango vyao kwa kuzitendea haki nafasi zao katika timu; nani mkali kati ya Samata na Miqsone
Yaani jina ulilonalo JF na unayoandika hapa ni mbingu na ardhi. Ukipewa heshima jiheshimu. Mchezaji wa kiwango atacheza ligi ya Tanzania? Au unamuona ana miaka 17?
 
Smt016

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,467
2,000
Watu na mahaba yao.

Kosa la kwanza: Unamlinganisha mchezaji aliyepata mafanikio vs mchezaji asiyejulikana Africa na ulimwengu wa soka kwa ujumla na asiye na mafanikio yoyote.

Kosa la pili: hivi inawezekana vipi kumlinganisha wachezaji wenye nafasi mbili tofauti mfano golikipa dhidi ya straika?
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,588
2,000
Mtu mamelodi tu alikosa namba. Akaachwa kwa mkopo ud songo... unamfananisha na winner wa african player of the year.

Ligi yetu nyepesi sana , tena sana ndio maana unamuona mmakonde mkali.. ngoja akutane na beki za esperence ama waydad kwenye caf champions league uone atavyokuwa anaruka ruka.. subiri caf akutane na beki zina mark zone.. bongo beki hazijui hata zone ni nini? Lazima aonekane mkali

Samatta ulaya hajaenda kwa bahati mbaya.. timu vigogo zote africa zinamjua
 
3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
5,689
2,000
Wewe ni Simba mwenzangu mkuu... lkn tuwe wakweli tu.

Achana na Luis Jose Miquissone, kuna watu huwa nikiwasikia wanamlinganisha MBWANA SAMATTA na SIMON MSUVA nawaonaga hawajui kitu.

Hawa watu walianzaga kumpaisha ULIMWENGU nakusema SAMATTA anazidiwa na jamaa huyo lkn waulize kama bado wapo watuletee majibu.

For me Miquissone ni bora kuliko hao wawili (2) hapo juu na sio SAMATTA.
 
3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
5,689
2,000
Watu na mahaba yao.

Kosa la kwanza: Unamlinganisha mchezaji aliyepata mafanikio vs mchezaji asiyejulikana Africa na ulimwengu wa soka kwa ujumla na asiye na mafanikio yoyote.

Kosa la pili: hivi inawezekana vipi kumlinganisha wachezaji wenye nafasi mbili tofauti mfano golikipa dhidi ya straika?
Samatta tunamvunjia heshima japo nae alipita Simba.
 
BrainIndependent

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
694
1,000
Watu na mahaba yao.

Kosa la kwanza: Unamlinganisha mchezaji aliyepata mafanikio vs mchezaji asiyejulikana Africa na ulimwengu wa soka kwa ujumla na asiye na mafanikio yoyote.

Kosa la pili: hivi inawezekana vipi kumlinganisha wachezaji wenye nafasi mbili tofauti mfano golikipa dhidi ya straika?
Kama ulishawahi kusikia tuzo za mchezaji bora wa mwezi, msimu (mwaka) na dunia, unawezaje kushangaa na hilo japo sio vyema sana.
 
Mario Kejob

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
308
500
I pick Konde Boy any time. Kwanza ni speed ya mchezo aliyonayo na flexibility aliyonayo ya kucheza nafasi mbali mbali za ushambuliaji. Mchezaji wa kweli huwa hana nafasi maalumu moja tu anayoweza kucheza kama ilivyo kwa ndugu yetu na apate watu wa kum-feed. Konde Boy is all weather all terrain and above all fearless.
Kama tunazungumzia uzalendo basi Samata ni mchezaji mkubwa mwenye bahati tu za mkenge. Tunamtakia kila la kheri huko Fenabache na kama haitokuwa rizki, basi arudi Yanga kwani Simba kumesheheni vipaji.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom