Recent content by mdudu unga

  1. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Kati ya Njombe, Songea au Mbeya na Moro, ipi ina fursa nzuri nzuri zaidi ili nihamie

    (UFUNDI SIMU AINA ZOTE SOFTWARE NA HEARDWARE) umejifunzia wapi hiyo kozi mkuu?
  2. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume kumfananisha Rais na kinyago ni sahihi?

    Wewe ndiye unapaswa kuwekwa ndani kwa kuendelea kusambaza habari za vinyago..
  3. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Baada ya mdogo wangu kufariki: Nimejifunza vijana kupata hela nyingi inaweza kuwa tatizo

    @jord Pola kama huna cha kuchangia ni bora ukae kimya, wacha kulazimisha kuchangia uzi usio kuhusu..
  4. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Baada ya mdogo wangu kufariki: Nimejifunza vijana kupata hela nyingi inaweza kuwa tatizo

    Pole ziwafikie wanafamilia, ndg, jamaa & marafiki ... Mkuu sikuwa na ulazima wa kupitia post zote zilizopo kwenye hii mada, ila ningependa kujua yafuatayo (KAMA ITAWEZEKANA); Huyo mdogo wako alikuwa anafanya kazi kampuni gani hapa Arusha na hiyo kampuni inapatikana maeneo yapi? 2. Ajali hiyo...
  5. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    Mkuu auxillius fanya kunitumia kwa hapa 255clicktz@gmail.com Ahsante.
  6. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli za Tundu Lissu ni wazi kwamba anakibomoa badala ya kukijenga CHADEMA

    Nabii wa mwisho kutabiri kifo cha CDM alikuwa ni Wasira bahati mbaya haikuwa kama alivyotabiri. Lizaboni CDM haiwezi kufa kwa hoja za kipuuzi kama ulizoainisha hapo juu.
  7. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Ntajie movie zako mpya 5

    Mimi napenda movies za kizalendo tu. 1. HAPA KAZI TU (JPM) 2. NCHI YA VIWANDA (CCM) 3. DIKTETA UCHWARA (LISSU) 4. MAKINIKIA (JPM) 5. KIBITI mwendelezo
  8. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Njia nyembamba (Simulizi mpya by SteveMollel)

    Ikiisha utanisanua mkuu SteveMollel
  9. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

    Hii nguvu ya umbea na unafiki ikihamishiwa kule KIBITI nina uhakika ndani ya muda mfupi wale magaidi watakuwa wameshateketezwa.
  10. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Hawa Members Maarufu kwa Fix/Kamba/Uongo, Ubishi na Kuwa wa Kwanza ku Comment

    Lumumba kwa fix.. "Wanadai Magufuli ameokota vichwa vya treni bahirini"
  11. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya wakongwe wa mziki Jide na Saida Kalori na uwezo wao

    Ukweli ni kwamba Jide hakuna wa kufananishwa nae kwa mziki wa bongo fleva. Saida aendelee kuimba charanga tu maana ndo uwezo wake ulipofikia.
  12. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Utata alichokiandika Almasmzambele huko insta juu ya WCB

    NUKUU "In any kinds of jokes, there's small particle of truth".
  13. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    LEGE hivi ile riwaya ya UTATA WA 9/12 mwendelezo wake umeshatoka?
  14. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Kama nilivyohisi kifo cha mpelelezi, vivyo hivyo hisia zangu ziliniambia kuwa hii riwaya ni ngumu kumaliziwa kwa wakati..
  15. mdudu unga

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Hali ya hatari..
Back
Top Bottom