Habari za jioni wanaJF,
Naombeni msaada nataka kujua upi ni mfuko bora kati ya NSSF, PPF, PSPF na LAPF kwa anayejua.
Natanguliza shukrani zangu za dhati!
Natafuta mke wa kuoa awe mkiristo kati ya umri wa miaka 26 na 27, awe mweusi au Maji ya kunde ciyo mbaya bali aciwe anajichubua,pia awe tayali kwenda kupimavkabla ya kuanziaha mahuaiano,Nipo seriously ambaye yupo tayali ani PM tayali kwa mazungumuzo zaidi!
Natafuta mke wa kuoa,masharti ni haya ,kwanza awe mkieisto umri wake kati ya miaka 26 hadi 27,awe mweusi au Maji yakunde ciyo mbaya bali asiwe anajichubua,pia awe tayali kwenda kupima kabla ya kuanza mahusiano,nipo seriously ambaye yupo tayali ni PM kwa mazungumuzo zaidi!!!
Kama ni kweli huo ni mtihani ,wewe huyo mchumba wako anakutega akuone msimamo wako upoje juu yake na ushingae ukienda huko utakuta wapo wote na mchumba wako na utakuwa umessha onesha udhaifu wa halii ya juu sana!!!!!!
Wewe@manambefu unamtizamo potofu xana ciyo kila mtu anayeenda chuo anatakiwa kusoma educations,wito wa mtu na maono ya mtu ni kitu kinachomsukuma mtu kusoma kozi anayohitaji masuala ya kazi ni saula jingine kozi kunawatu wanasoma educations but wanahangaika kutaduta kazi nyingine tofauti na fani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.