Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,022
Mifuko bora ni miwili tu PSPF na LAPF(wanatumia the same formula katika ukokotoaji mafao)ila kati ya hii miwili PSPF ndio mfuko mzuri sababu;
1/Wana experience ya muda mrefu ktk ku operate as a pension fund(1999) compared to LAPF ambao wame transform from PROVIDENT to PENSION FUND mwaka 2008.
2/PSPF wana ofisi kila mkoa wakati LAPF wana ofisi kati ya 6 tu Tanzania nzima
3/Mikopo ya nyumba PSPF ni baada ya miaka 5 tu wakati LAPF ni baada ya miaka 15
4/PSPF wanatoa mafao ya aina 12 wakati LAPF wanatoa mafao ya aina 6 tu
5/PSPF wana wanachama karibu 400,000 kwa mujibu wa takwimu za mwaka jana wakati LAPF ndo wanaitafuta 100,000
Ahsante kwa uchambuzi mzr mkuu. Je Mwanachama wa mfuko mf NSSF anaweza kuhahama mfuko na kwenda mfano, PSPF bila ya kuacha kazi na bila ya athari yoyote ktk michango yake na mafao yake?