Natafuta mwanamume

Natafuta mwanamume

Dada ondoa hofu mme utapata rakini kuwa makini na wanaume ucje ukawa mchepuko. mme hupatikana popote omba kwa mora wako
 
Tangazo lako zuri,ila ungetupiamo na kapicha kako maana mi Nina sifa zote ulizotaka ila naogopa usije ukawa nyanya Chungu.
 
Ndoa ni jambo la muhimu sana katika maisha na sio la kukurupukia maana laweza likafanya uishie katika manung'uniko yasiyokoma. Mshirikishe Mungu wako, ili umpate afaae.
 
Hehehehehe kizazi hki bana so umeamua ujitangaze kabisa..OK basi sawa kila la kheri
 
miaka yote hiyo uliandika matangazo hawakujitokeza?
next time ambatanisha na picha tafadhari!
 
Am looking for a man to marry me am 33 yrs old, he should be humble, hardworking, intelligent someone who can understand me an me like wise.

Mrefu or medium hight and extremely smart, mwenye mtoto ntampa priority though . Kama wewe Huna vijezo basi just pretend that you didn't see this post. He should be 34 years and above.

nina mtoto 1 na nina miaka 35. wewe unawatoto wa ngapi?
 
Una 33 nina 25 inawezekana tu mbona mondi kaweza kwa Zarina. Umri namba 2 mjini msingi kiuno
 
Natafuta mke wa kuoa awe mkiristo kati ya umri wa miaka 26 na 27, awe mweusi au Maji ya kunde ciyo mbaya bali aciwe anajichubua,pia awe tayali kwenda kupimavkabla ya kuanziaha mahuaiano,Nipo seriously ambaye yupo tayali ani PM tayali kwa mazungumuzo zaidi!
 
Dada ondoa hofu mme utapata rakini kuwa makini na wanaume ucje ukawa mchepuko. mme hupatikana popote omba kwa mora wako

umeniwahi murra mi mwenyewe niritaka kumwambia hivyo hivyo,, razima awe makini iri asidanganywe... au nimesema uongo murra?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom