- Thread starter
- #41
basi mwanakwetu usile hiyo nyama yenye ndevu,italeta shida tu katika maisha yako
Umeonaee ee ni tatizo mwanakwetu
basi mwanakwetu usile hiyo nyama yenye ndevu,italeta shida tu katika maisha yako
Mh.. Kama ni kweli na kiapo ulichochukua mbele ya mchumba wako kweli huo ni mtihani mzito. Cheza karata zako vizuri...
Mkuu inakuwaje watu wengine mnakuwa na bahati namna hiyo na wengine hatuna? mwambie umtafutie mimi, ww usisaliti mtu wako!
Mvua zimeondoa hadi uwezo wa kufanya maamuzi!what a question!
Ulimwambia mchumba wako hutamcheat mbele yake leo anakujia na issue ya kutaka kukutana faragha fikiri mara mbili kaka......mshirikishe mchumba wako na utafute namna ya kutengeneza gari hata kwa mkopo
Na ndio kinachoniuma mbaya zaidi ni yule yule ambae alisimama kama shaidi hapo ndio naona kama kuna kamtego flani....dawa ni kutengeneza fumanizi tu,lakini naogopa picha hizi
Ukiamini huu upuuzi basi Brussels itahamia bongo. .
unaogopa nini kama unajiamini au unatafuta neno la shetani alikupitia wakati unashauriwa mapema......kama vipi nenda na mchumba wako shida ipo wapi mkuu
Hii sio ya kutunga imenitokea kama uko vizuri nikopeshe mkwanja afu nakupeleka mpaka eneo la tukio mkuu
Wewe nenda huko kwenye hiyo hotel ukiwa umeongozana na mchumba wako,mkifika msurprise kwa kusema ukweli kilichotokea.
Chai nyingine hizi
Anyway;
Kamsemelee kwa mpenzi wako
Mmh na mvua hizi mtu ukimgusia mkopo tu anakupa maelezo ya kusaidia ndugu zake waliokumbwa na mafuriko