Recent content by mdalla 1

  1. mdalla 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni ushauri kuhusu huyu mwanake

    mshike sana elimu, usimuache aende zake kaka...mwanamke asieweza kutambua hali yako na kuthamini kidogo ulichonacho atakupasua kichwa, unajua nn fanya kama hukuwahi kukutana nae endelea na maisha mengine better dayz ov urs r soon to come
  2. mdalla 1

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya matumizi ya ugoro?

    Ndugu wataalamu wa afya, husika na kichwa tajwa hapo juu. Kutokana na zuio la Serikali juu ya uuzaji na utumiaji wa pombe aina ya viroba hapa nchini, vijana wengi wa Kitanzania sasa wamejikita na matumizi ya ugoro. Je, nini athari na faida zake kwa ujumla?
  3. mdalla 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    a just like it as he is teaching while handling a bottle of bear
  4. mdalla 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    mwalimu!! how?
  5. mdalla 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    asante sana, ila acha kabisa iliniuma hadi leo na upande wangu maneno huwa yananiumiza sana coz hujiludiludia akilini muda mwingi.
  6. mdalla 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    nilikua nabembeleza asiniache baada ya kunotice changes kubwa kutoka kwake, ME;baby naomba ukumbuke tulikotoka...ata haya mafanikio machache niliopata umechengia kwa kiasi kikubwa sana kwakweli.(hapo tuna miaka 6 kwnye relation and i was her first man). HER;Baki nayo tu hayo mafanikio ata...
  7. mdalla 1

    JamiiForums Tanzania Bei ya TOYOTA RAUM mpya!!

    contact ni muhimu,
  8. mdalla 1

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vya zamani kidogo, vimepotelea wapi hivi?

    vumbua dhahabu, bu bubu hasemi, mi mimi mdogo, go gogo la mti, ti tingisha mlango, kwingine nimesahau pia
  9. mdalla 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shugamami ananitamani

    miaka 23!umeoa!unaishi kwa kubet+token za kichina...kumbe kuoa ni rahisi hivi??? wallah na Mimi naoa kesho
  10. mdalla 1

    JamiiForums Tanzania Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    future prezdent wa tz ni wewe
  11. mdalla 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ladies muwe na uvumilivu

    genius...100%
  12. mdalla 1

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Jay Z. Mc mkali kuwahi kutokea tangu dunia iwepo

    aisee kwangu mimi icon ya hip hop ni tupac(philosopher), wengine wanajaribu
  13. mdalla 1

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nitadhibiti rushwa kwa siku 100

    Nimekosa neno zuri la kukwambia Mkuu, zaidi labda em yaishi haya unayoyazungumza maana ni logic tupu! ur such a bright person.....
  14. mdalla 1

    JamiiForums Tanzania Huyu Lowassa si mtu wa kawaida, sasa nimeamini

    Ni kweli miaka 50 na lowassa akihusika kwa miaka 30,50-30=20 so ukisema miaka 20 unakua sahihi zaidi....
Back
Top Bottom