Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Tatizo mnakosea kitu kimoja! Mnaremba saana Ufilipino mwingi show dhaifu, piga show kali, piga deki mpaka kwapa usiache kituuu! Lamba kila kitu, mbona hela ataanza kukupa wewe
Sasa kama unajijua huna huo uwezo kwanini umejiingiza kwenye mambo ambayo magumu kwako?wewe unataka upewe papuchi tu nani ahudumiwe?wakuu mimi nina girlfriend ambaye ni mwanafunzi wa chuo flani ,huyu mwanamke mara nyingi amekua akinidai nimpatie matunzo kama vile pesa,simu, pesa ya kusukia na mahitaji mengine lakini vyote hivyo kwa uwezo wangu mimi nashindwa ukizingatia kwamba mimi ni bado mwanafunzi na sijaingia rasmi kwenye utafutaji, naombeni msaada wakuu nifanyeje?? nimjibuje?? pia ni sawa kumpatia hata kwa kiwango kidogo?? ni haki yake au ni uamuzi wangu kwakua bado sijamuoa??
Weee mdada kibokoooo...!! Haa ha ha.. Inabdi amnunulie na smartphone maana hana..!Mwanafunzi my foot! Kama wewe ni mwanafunzi si usome mapenzi uwaachie watu wazima?
Shule unaitaka
Papuchi unataka
Pesa huna
Nyooooooo! Yatakushinda.
Kaka nikushauri kitu. Mwanamke wa hivyo ni yuko interested na material things. anajua kabisa wewe ni mwanafunzi na bado anataka utimize majukumu kama mume.wakuu mimi nina girlfriend ambaye ni mwanafunzi wa chuo flani ,huyu mwanamke mara nyingi amekua akinidai nimpatie matunzo kama vile pesa,simu, pesa ya kusukia na mahitaji mengine lakini vyote hivyo kwa uwezo wangu mimi nashindwa ukizingatia kwamba mimi ni bado mwanafunzi na sijaingia rasmi kwenye utafutaji, naombeni msaada wakuu nifanyeje?? nimjibuje?? pia ni sawa kumpatia hata kwa kiwango kidogo?? ni haki yake au ni uamuzi wangu kwakua bado sijamuoa??
wakuu mimi nina girlfriend ambaye ni mwanafunzi wa chuo flani ,huyu mwanamke mara nyingi amekua akinidai nimpatie matunzo kama vile pesa,simu, pesa ya kusukia na mahitaji mengine lakini vyote hivyo kwa uwezo wangu mimi nashindwa ukizingatia kwamba mimi ni bado mwanafunzi na sijaingia rasmi kwenye utafutaji, naombeni msaada wakuu nifanyeje?? nimjibuje?? pia ni sawa kumpatia hata kwa kiwango kidogo?? ni haki yake au ni uamuzi wangu kwakua bado sijamuoa??
mshike sana elimu, usimuache aende zake kaka...mwanamke asieweza kutambua hali yako na kuthamini kidogo ulichonacho atakupasua kichwa,wakuu mimi nina girlfriend ambaye ni mwanafunzi wa chuo flani ,huyu mwanamke mara nyingi amekua akinidai nimpatie matunzo kama vile pesa,simu, pesa ya kusukia na mahitaji mengine lakini vyote hivyo kwa uwezo wangu mimi nashindwa ukizingatia kwamba mimi ni bado mwanafunzi na sijaingia rasmi kwenye utafutaji, naombeni msaada wakuu nifanyeje?? nimjibuje?? pia ni sawa kumpatia hata kwa kiwango kidogo?? ni haki yake au ni uamuzi wangu kwakua bado sijamuoa??
mkuu vyote hivyo nafanya ndo mana anashindwa kuachana na mimi ni shida zake tuu zinamsumbua kuhusu mapenzi hamna tatizo ,,ningekua mapenzi siwezi na pesa sina ni lazima angesepa tuuTatizo mnakosea kitu kimoja! Mnaremba saana Ufilipino mwingi show dhaifu, piga show kali, piga deki mpaka kwapa usiache kituuu! Lamba kila kitu, mbona hela ataanza kukupa wewe
asante sana mkuumshike sana elimu, usimuache aende zake kaka...mwanamke asieweza kutambua hali yako na kuthamini kidogo ulichonacho atakupasua kichwa,
unajua nn fanya kama hukuwahi kukutana nae endelea na maisha mengine better dayz ov urs r soon to come
asante kwa ushauri mkuu,,nitafanyia kaziMahusiano yenu yamejijenga katika nini haswa!! Misingi uliyoijenga ndio anguko lako pia.
Kama ulikosea kujenga bomoa tu uingie gharama upya. Kaa nae mzungumze mueleze hali yako halisi.
Kumhudumia mpenzi wako ni jukumu lako la kawaida tu, ila kama hauna uwezo huo unapaswa kuwa na mtu mnaelewana.
sawa mkuuMwanafunzi my foot! Kama wewe ni mwanafunzi si usome mapenzi uwaachie watu wazima?
Shule unaitaka
Papuchi unataka
Pesa huna
Nyooooooo! Yatakushinda.
asante sana mkuuKaka nikushauri kitu. Mwanamke wa hivyo ni yuko interested na material things. anajua kabisa wewe ni mwanafunzi na bado anataka utimize majukumu kama mume.
Wakati wako bado haujafika,soma kwanza kijana, ukifanikiwa watakuja wazuri hata zaidi ya hao.
Ukicheza cheza utaja disko urudi home huku demu akiolewa akiendelea kula maisha.
Kuwa makini
asante kwa ushauri mkuusoma dogo.......akanunuliwe na wazazi wake....
weka number yake tumshauri atakuelewa tuWakuu mimi nina girlfriend ambaye ni mwanafunzi wa chuo fulani, huyu mwanamke mara nyingi amekuwa akinidai nimpatie matunzo kama vile pesa, simu, pesa ya kusukia na mahitaji mengine lakini vyote hivyo kwa uwezo wangu mimi nashindwa ukizingatia kwamba mimi ni bado mwanafunzi na sijaingia rasmi kwenye utafutaji.
Naombeni msaada wakuu nifanyeje? Nimjibuje? Pia ni sawa kumpatia hata kwa kiwango kidogo? Ni haki yake au ni uamuzi wangu kwakua bado sijamuoa?
asante kwa ushauri mkuuCjui kwann nmejikuta nakuonea huruma tu anyway ucmpe hela soma kijana kitaa girisi bei afu unamgharamia fwala mwingine anamsifia bby umepandeza sana afu umgharamie mkimaliza chuo anaolewa na mshkaji mwingine kabsa tofauti na ww