Shugamami ananitamani

Shugamami ananitamani

Ulimuuliza UKIMWI anao na jinsi gani kapata hizo mali ??

Au umeangalia hela tu ??

ila kuoa miaka 23 yataka moyo

hapo sasa mkuu ndo ushangae mi nilimuuliza akajibu heti amepata yeye peke yake .
 
Habari zenu wana jamvi!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nimeoa na nina mtoto mmoja na maisha yangu sio mazuri sana huwa napenda kubet sana au kucheza game za token zile za wachina.Sasa jumatano iliyopita nikiwa navuta vuta muda wa game ya chelsea na porto nikasema ngoja nikapige game la token kidogo kwa huyo mama ile nafika tu akaniambia token zimeisha pia akaniomba simu yangu aongee na mtu nikampa akaingia nayo dukani kwake kama dakika 15 hivi nilipoona muda unaenda bila kutoka nje nikaamua kumuita akaja tukakaa kwenye form tukiwa wawili tu nikaanza kumchokoza nikamuuliza hivi hii nyumba ni yako?

Akanijibu ni yake pia ana pikipiki 3 na nyumba anazo jumla 2 pia ana duka ila amekosa kitu kimoja tu nikamuuliza kitu gani akasema anahitaji mtu amuoe ila nikazidi kumpeleleza je ni mtu wa aina gani anaemtaka akasema asiwe mvuta bangi, mvuta sigara, mnywa pombe ila kila kitu atampatia akaniuliza je kati ya hivyo vitu natumia angalau kimojawapo nikamjibu hapana .Ile kukaa kidogo tu akaja jamaa flan pale tulipokuwa tumekaa nikicheki muda ni saa 4:15 usiku ikanibidi nisepe kwenye game ile naondoka tu akaniambia sasa unaenda wapi wakati bado tuna maongezi? Nikamjibu kesho nitakuja!

Kiukweli nina shida na hela zake tu ila masuala ya mapenzi sitaki je nifanye nini wadau ili nipate nachotaka bila kufanya nae mapenzi?

miaka 23!umeoa!unaishi kwa kubet+token za kichina...kumbe kuoa ni rahisi hivi???
wallah na Mimi naoa kesho
 
mkuu hata leo nimeonana nae akaniomba nipakize kwenye pikipiki tukaongee ila nikampiga chenga.

Aiseeee..............

Kweli wewe ni mvulana, kubishana na wewe ni kujitafutia headache tu, fanya upendavyo........
 
Xaxa apo yupi anamtaka mwenzake wew au yeye
 
Wewe ndiyo unamtamani mammy sugar wa watu na wala siyo yeye.
 
Weka heading HIV shida zangu zinanifanya nimtaman MTU mzima
 
Habari zenu wana jamvi!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nimeoa na nina mtoto mmoja na maisha yangu sio mazuri sana huwa napenda kubet sana au kucheza game za token zile za wachina.Sasa jumatano iliyopita nikiwa navuta vuta muda wa game ya chelsea na porto nikasema ngoja nikapige game la token kidogo kwa huyo mama ile nafika tu akaniambia token zimeisha pia akaniomba simu yangu aongee na mtu nikampa akaingia nayo dukani kwake kama dakika 15 hivi nilipoona muda unaenda bila kutoka nje nikaamua kumuita akaja tukakaa kwenye form tukiwa wawili tu nikaanza kumchokoza nikamuuliza hivi hii nyumba ni yako?

Akanijibu ni yake pia ana pikipiki 3 na nyumba anazo jumla 2 pia ana duka ila amekosa kitu kimoja tu nikamuuliza kitu gani akasema anahitaji mtu amuoe ila nikazidi kumpeleleza je ni mtu wa aina gani anaemtaka akasema asiwe mvuta bangi, mvuta sigara, mnywa pombe ila kila kitu atampatia akaniuliza je kati ya hivyo vitu natumia angalau kimojawapo nikamjibu hapana .Ile kukaa kidogo tu akaja jamaa flan pale tulipokuwa tumekaa nikicheki muda ni saa 4:15 usiku ikanibidi nisepe kwenye game ile naondoka tu akaniambia sasa unaenda wapi wakati bado tuna maongezi? Nikamjibu kesho nitakuja!

Kiukweli nina shida na hela zake tu ila masuala ya mapenzi sitaki je nifanye nini wadau ili nipate nachotaka bila kufanya nae mapenzi?

usikute anataka umtafutie mtu
 
Back
Top Bottom