Ladies muwe na uvumilivu

Ladies muwe na uvumilivu

You!!!! total wrong. accepting a guy na kuvumilia sababu anaweza kufanikiwa ni ubinafsi, na akichelewa kufanikiwa utamwacha, mvumilie mtu siku zote sababu ya Upendo

Siku zote mahusiano ndio huzaa ndoa kwa asilimia kubwa Tu naomba nikuulize unaish na mtu unaempenda miaka nenda Rudi unavumilia kwa kua u both love each other anakua na jeuri unavumilia Tu! Anakutukana unavumilia Tu! Kisa Una upendo?? Jamani mtu na apime mwenyewe maji na unga ajue ataamua nn
 
Mwanamke anaona kabisa kazi ngumu, nafasi 3 wanao apply ni elfu 10, ila anataka mwanaume mwenye kazi mambo safi.
 
Tatizo na nyie mkipata mnakengeuka sana..mtu anakuvumilia ukishapata uhakika wa maisha unamwona hafai tena.
 
Tatizo na nyie mkipata mnakengeuka sana..mtu anakuvumilia ukishapata uhakika wa maisha unamwona hafai tena.

Yes yote haya hutokea tatizo mtu anakuona sio mvumilivu unahikuta unavumilia had unaota sugu Kuna kuvumilia kwingine huna jinsi
 
Sikuzote naamini kisicho rizki hakiliki,kama aliandikiwa muewote mle shida nyote na raha ale na mwengine utasaga nae lami wakati wa kula atakuja mwenzio ale,kuna binadamu wengine wanapita kwenye maisha yako kama fundisho lakini sio wakaaji.
unaweza ukamvumilia mume mwisho wa siku anakuwacha nakutafuta mwengine kwa sababu isiyo na msingi..
 
Nyie ndo wapasha viporo af mnakuja kuomba ushauri hamjui mimba ya nan
Pumbaf😠😠
 
Uvumilivu utoke wapi wakati "wakitizama picha za maex za wanalowa easily"..
Ladies of this generation are way too cheap...cheaper than a bubble gum...
 
Sikuzote naamini kisicho rizki hakiliki,kama aliandikiwa muewote mle shida nyote na raha ale na mwengine utasaga nae lami wakati wa kula atakuja mwenzio ale,kuna binadamu wengine wanapita kwenye maisha yako kama fundisho lakini sio wakaaji.
unaweza ukamvumilia mume mwisho wa siku anakuwacha nakutafuta mwengine kwa sababu isiyo na msingi..

Nimekupenda bure mummie
Achana na wapenda pesa haoo If you are happily in love and it is mutual u need nothing more
Stay in love n make your own damn money
 
Uvumilivu ni kitu muhimu kwa wanandoa.wanaume wengi tunajisahau baada ya kupata mafanikio na kuanza vituko kwa wanawake zetu.
 
Nimekupenda bure mummie
Achana na wapenda pesa haoo If you are happily in love and it is mutual u need nothing more
Stay in love n make your own damn money
Nadhani hii Mada inawakhusu wale wanawake wanao tegemea utajiri wa mwanamme ndio ataumia na kumuona X wake kwenye TV,lakini kama unafanya kazi na umeridhika na anachokupa Mungu nini kuonekana kwenye TV hata aonekane mwezini sawa...
 
Back
Top Bottom