Recent content by McLover

  1. M

    Jezi za Nigeria zatajwa kuwa ni nzuri kuliko zote kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018, nchini Russia

    Wanatumia udhaifu ule ule wa kufikiri wa waAfrica kunyakua nyakua mapesa , wame overate price kwa sababu kuzidiana kuonesha ufahari kumbe wanatuumiza kwa kutumia psychology
  2. M

    Natafuta kazi

    PM me
  3. M

    Benazir Bhutto: C.I.A waliongopa. Osama Bin Laden aliuawa mwaka 2001 na sio 2011.

    Spelling error my foot, mbona hajakosea sehemu zote, aje akosee hapo tu?, stupid,,,,ngeli amerikano limenyooka kabisa
  4. M

    Christiano Ronaldo ndiye wa kwanza kupiga Tik tak Duniani?

    Niliachaga kuangalia mpira baada ya kukithiri kwa overrating za kijinga wanazopata CR na Messi, na alivyoondoka Ronadinho uwanjani, sijaona mchezaji dimbani, umejaa ujinga tu.
  5. M

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Sema utawatambua vilaza kirahisi, kwa sababu inahitaji average thinking kutambua ujumbe uliohudhurisha, ambae hajaelewa aidha hajasoma content au kilaza
  6. M

    Hivi kuna muvi Kali zaidi ya Bourne identity?

    Mi pia sijwahi ona
  7. M

    Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

    Majibizano ya risasi yameua watu wote 13 pamoja na mtuhumiwa aliowapeleka mafichoni lakini hakuna polisi hata mmoja aliopata shida yoyote ? Hata shati kuchanika? Jeshi letu liko vizuri sana aisee.
  8. M

    Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

    Seriously looking for a second wife ,tuwasiliane. Shukran
  9. M

    Mzumbe Sekondari

    Shaban Robert Namba 5 then nikahamia complex....,nilivyorudi advance nikarudi tena SR5. Daah nazikumbuka nyuji. Alivyokuja Mwasha tuliishi vizuri sana aisee. No much kande , nyali most of the time. Nilipenda sana ile spirit ya kusoma ya Mzumbe.
  10. M

    NSSF ndani ya ufisadi mzito: Wajanja wapiga zaidi ya Sh. Bilioni 179

    Hizi ni habari za kidaku sana. Wengi wame comment kikuda sana. Ni mihemko kwenda mbele. Leteni ripoti ya CAG. Sio kukusanyakusanya habari za mitaani na kutuletea. Namna ilivyo hii habari mtu yoyote anaweza kuandika. Haina weledi. Lakini ndo products za TSJ na DSJ....the failures.
  11. M

    Kuna dalili za kuua shule za Serikali baada ya matokeo kidato cha 4

    1) GPA system ilikuwa ni mkuki kwa haya majipu. Ilikuwa ni suala la kuboresha tu. Maana ilibana ile corrupt committee ya kubariki matokeo. Ambayo inahongeka kirahisi sana .GPA haitoi mwanya wa kuchakachua matokeo kama ilivyo division. 2) Ushahidi wa kubebwa kwa wanafunzi kwa baadhi ya shule...
  12. M

    Kwaheri Kikwete, kwaheri uhuru wa kupata habari/kujieleza

    Mbowe alimshukuru JK kwa kuimarisha democracy nchini. Kuwapa uhuru vyama vya upinzani hadi kumiliki brigades za ulinzi.
  13. M

    Serikali ya Eritrea yatoa amri kila mwanaume kuoa wake wawili

    Unajua MwenyeziMungu yuko fair siku zote, just play your part, kumbuka unapochepuka unakwaza watu wengine. Huenda unamkwaza mume au mke wa mtu, au mzazi au any family member. Unaweza sambaza magonjwa . Unatumia haki ya familia yako kufanyia mambo yanayokera jamii kwa ujumla. Wewe usiangalie...
  14. M

    Serikali ya Eritrea yatoa amri kila mwanaume kuoa wake wawili

    Hiyo sio justification ya kuchepuka. Naamini kama hujaoa Malaya , unajihifadhi, unaonesha upendo na majukumu unakamilisha , mke lazima atulie, mara nyingi kama sio zote sisi wanaume ndo chanzo.
  15. M

    Serikali ya Eritrea yatoa amri kila mwanaume kuoa wake wawili

    Mimi sina mchepuko. Na naomba Mungu anistiri nisiwe na mchepuko, labda kuongeza mwingine ikihitajika. Mi naamini ukizini lazima utaziniwa tu, kama sio mkeo itakuwa Dada yako au mama yako. Most likely mkeo. Kama unakubali kugongewa na wewe gonga period.
Back
Top Bottom