Recent content by mchuzi juu

  1. mchuzi juu

    JamiiForums Tanzania Siri ya ndoa sio upendo. Siri ya ndoa ni UVUMILIVU. Ni babaako au mamaako pekee ndio atakubaliana na hili ila wewe ni ujuaji tu unakusumbua

    Nadhani mwanzo mwa thread yako ungeanza na kutoa maana ya maneno Haya "Upendo & Uvumilivu"
  2. mchuzi juu

    JamiiForums Tanzania Shemeji yenu Kanasa Ujauzito,sikuwa na mpango wa kuzaa naye

    Uncle T anachekesha kama sio ndugu yako wa familia
  3. mchuzi juu

    JamiiForums Tanzania *Karibuni kwenye Channel Yangu ya Memes – Twende Tukacheke🤣 na kufurah😊 Pamoja!!!!*

    Habari wakuu wa JamiiForums! 😊 Oups weekend imekaa poa sana kwa upande wangu nipo vizur pia kwa utulivu safiii na kaupepo ka Southern Highland Tanzania😅 Mimi ni mpenzi wa vichekesho na napost memes za kufurahisha kila siku. Lengo ni kuleta tabasamu, kupunguza stress za maisha, na kushare...
  4. mchuzi juu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

    Mdada penda uhalisia wako bwana... mdada jikubali ..... Natural one ..sasa .. au bac ila mnaniudhi😒😏
  5. mchuzi juu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

    C ndo kama hivo mtu anakutumia picha , masnap kibao mtoto kawaka kama Marie Antonienette yule malkia wa Ufaransa miaka ya 1875, cku unakutana nae mtu yupo kama dude baya😂😂😤😤😡😡
  6. mchuzi juu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

    Ila wadada😂😂💔💔
  7. mchuzi juu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

    DP Anaonekana Nandy uhalisia njJosh unyango😂😂😂💔💔💔
  8. mchuzi juu

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

    Sheria tamu sana yaani😋😋
  9. mchuzi juu

    JamiiForums Tanzania Unataka au hutaki😉

    Hii kauli nimeikumbuka kitambo sana miaka ile JF ina akina Mshana jr , Mpwayungu Village 😂😂🙌🙌
  10. mchuzi juu

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya uwekezaji nimeufanya (Saloon)

    🫠🫠🤔🤔
Back
Top Bottom