Akina Museveni na Rugyema na Kagame walipata bahati na kujijengea umwamba baada ya jeshi la Idi Amin kuvamia Kagera enclave. Jeshi la Tanzania lilipigana nchini Uganda bega kwa bega na maaskari wa Obote walioongozwa na kamanda wao Oyite Ojok(Mlangi) na Mzee Tito Okello(MuAcholi). Hawa na...
Miaka ya sabini, mtu akiwa na hela tulikuwa tunasema " Fulani kajaa kifashsti". Chimbuko la usemi huo ni jinsi ambavyo Idi Amin alivyokuwa na kawaida ya kushindilia minoti ya hela kwenye mifuko ya combats zake alizokuwa akivaa na kuwagawia watu waliomfurahisha, mathalani madansa wa ngoma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.