MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Wenzetu demokrasia ndio kila kitu kwao, wanaangalia mwenye misimamo ya kuwasaidia wao, hakuna mizengwe, ni yeyote anaweza kuliongoza taifa hilo ilimradi ni mzaliwa wa marekani.
Wenzetu kila chama kina haki ya Kutoa Rais wa kuliongoza taifa hilo, angalia Trump anavyopaa tena kwa kusikilizwa na sauti za wengi tena wamarekani wenyewe.
Sisi wa ngozi nyeusi tumebaki na fitina za ukabila, udini na rangi na kuwaonea wivu wenzetu hao na hata kuwaita wababe wa dunia! Mimi nasema acha waitwe wababe wa dunia tu, wanastahili.
Wamarekani wangekua wabaguzi kama Waafrika basi Obama asingeweza kuliongoza taifa hilo.Huku kwetu kuna watu wanawaita wenzao Masultani, hadi aibu.