Kufuatia maelekezo wa Waziri wa Fedha, nafasi za wakurugenzi wakuu wa taasisi hizo mbili zilitangazwa kwenye Ajira Portal ya Utumishi.
Ghafla nafasi hizo ziliondolewa na hata leo hii ukizitafuta kupata rejea zake hazipo.
Kama kuna anaejua kwanini zimeondolewa atufahamishe
Natamani Mtaka na kama anasoma hapa asikie, awe na moyo mgumu, 2025 aombe ridhaa ya kuingia kwenye siasa za maendeleo na kutengeneza sera, agombee ubunge kitu ambacho kitampima kama kiongozi anaeweza kupewa dhamana kubwa zaidi ya urais huko mbele. Naamini anaweza kuleta matumaini akijengwa...
Wajasiriamali wa chakula, tufahamishane soko la bidhaa hii ya chakula, yaani sato wakufuga kwenye mabwawa, kwa jiji la Dar lipo wapi? Uzito ni samaki wa 3 hadi 4 kilo, bei ya jumla ya bidhaa kuanzia kilo 50 ikifatwa shamba, Kigamboni ni TZS 7500. Karibuni
1. Barabara ya tabata - maji chumvi only 4km ambazo kwa ushawishi wa kibunge bajeti ingepatikana na angepata ridhaa ya wananchi wa eneo hilo. Ana shida ya kuongea ma watu kama vile anawaogopa
2. Machinjio ya Vingunguti - mradi wa pesa nyingi kwa jiji lakini anashindwa kuibana serikali...
Nakupongeza Mh. Rais kwa kulipa umuhimu swala la mikataba. Mikataba kwa nchi hii iliturudisha nyuma hivyo ni muda sahihi kuirejea hata kama tulishakosea hapo mwanzo. Waswahili husema kutenda kosa si kosa ila kurudia kosa, ni sahihi kabisa kujirekebisha kwa maslahi mapana ya nchi hii.
Mh. Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.