Nenda tu mkuu kama unauhitaji na hiyo ajira, kama una alternative nyingine bora zaidi unaweza kumute at your own risk. Ila si uliomba mwenyewe?.
Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
Hii ni mbaya sana, uchunguzi wa kina ufanyike. Recovery period sijui itakuwa muda gani mpaka shughuli za kawaida ziendelee kwenye huo mto.
Huu mgodi si wamejenga water treatment plant ya drainage za mgodini sio muda mrefu. How can this happen, baada ya project kubwa kama ile.
Ngoja tusubiri...
Kuna hospitali wanaitwa wauguzi wanaulizwa mbn dawa hizi na hizi hamziandiki zimejaa store tu. Kuna siku et jamaa kaandikisha cheti wanapigiana simu huyo anapesa fanya kweli. Hivi hii ethic kweli?.
Mtu unaenda unasema unaumwa kifua unaambiwa upime UTI na Malaria, hujasema unaumwa kichwa wala...
Naifahamu.
Kuan situation hicho kitu hakihitajiki na hizo dawa zinatolewa ili mradi tu. Binafsi sio professional yangu hiyo but nimezungukwa na watu wa kwenye hiyo kada. Dawa nyingi zinatolewa kwa business na sio ukubwa wa tatizo.
Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
Halafu kuna hii tabia ya kurundikiana dawa, unakuta unapewa pain killer aina mbili tofauti, antibiotics aina tatu tofauti na dawa ya malaria hapo unaumwa malaria tu.
Wengine wanakucharge dawa za wiki halafu ukienda pharmacy unapewa dawa za siku tatu tu. Nilishapotezaga imani na hizi zahanati...
Hii serikali sasa hivi inaigiza upofu, kila mtu anajifanyia analoona sahihi kwake.
Sasa hivi watu wanaokatisha ticket wamekuwa na viburi sana yaani sehemu nauli 29k wanakuambia 35k kama hutaki kulipa hiyo hupewi ticket. Na kwenye ticket wanakuandikia 29k ili hali wao wanataka uwalipe 35k.
Latra...
Huwaga hawapewi zote, hapi atapewa 3-5M, halafu nyingine wanasema watazitumia kwenye kukuza kipaji chake. Basi story inaisha hvyo. Kuna mshindi mmoja nafahamiana naye yalimkuta hayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.