Recent content by mchumi boy

  1. mchumi boy

    Ni lini chuo cha walimu VETA-Morogoro kitatoa maombi ya wanaojiunga na mafunzo ya ualimu VETA?

    hbari wadau naomba kuuliza hvi ni lini chuo cha walimu veta kinatoa maombi ya wanajiunga na mafunzo ya ualimu veta.
  2. mchumi boy

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Movie ya kirungu aliyocheza mzee wa kukurupuka
  3. mchumi boy

    CHUO CHA UALIMU VETA MOROGORO

    ndio mwalimu wa ufundi
  4. mchumi boy

    CHUO CHA UALIMU VETA MOROGORO

    Hbari wadau naomba kuuliza hvi ni sifa zpi za kujiunga na chuo cha ualimu veta Kilichopo Morogoro mwenye uzoefu ni mwz gani wakutuma maombi na kuanza masomo.
  5. mchumi boy

    Je ni lini deadline ya kutuma maombi kwa vyuo hivi?

    Naomba kuuliza je kujiunga na mafunzo ya VETA mwaka 2017/2018 kwenye chuo cha serikali Veta Iringa ni lini na Je ni muda gani wa kuomba kujiunga na chuo cha ualimu wa veta MOROGORO kwa mwaka huu .Mwenye taarifa tafadhari naomba msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mchumi boy

    Largest African Economies 2017, IMF

    SIDHANI KMA DATA HZO NI ZA KWELI KWELI LIBYA IMESHUKA KIASI HICHO KULIKO TZ
  7. mchumi boy

    CAG: Kampuni zote za madini hazijawahi kulipa kodi kutokana na faida, hapa kuna tatizo

    kweli kabisa kuna vitu vingine hta wapinzani tuache mambo ya siasa tumuache Mh.RAIS ACHAPE KAZI
  8. mchumi boy

    Ukweli kwa walimu

    yaani wee unadhani ualimu ni kuokotaokota walimu ni professional ambayo inahitaji weledi na maarifa ya kiualimu.Tuache dharau eti mtu wa Engeneering science afundishe wapi na wapi.
  9. mchumi boy

    Kuna uwezekano wa kufanikiwa mkopo kwa tulio-appeal?

    Habari wana jf, Naona deadline ya kuppeal mkopo imekaribia, sasa je kuna uwezekano wa kupata mikopo ya masomo maana maisha ya chuo bila mkopo ni kazi hasa tuliotoka familia za kimaskini.
  10. mchumi boy

    Walimu wawili wa sanaa wageukia kuuza Mitumba

    hamna cha kushangaza mm nina rafiki yangu alimaliza degree ya elimu arts anauza karanga mtaani na mwaka mmoja aliokaa ameshajenga nyumba kijijini anaishi na ameoa anatunza familiavyke ya watoto wawili na mkewe.
  11. mchumi boy

    UTEUZI: Rais amteua DC wa Mtwara kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango

    Hakika DR.Kazungu anastahili kwani ni mwalimu mzuri sana aliyebobea ktk masuala ya uchumi namkumbuka sana sana nilipokuwa Open universty nasoma maandiko yke ya uchumi ni mazuri.
Back
Top Bottom