TANZIA: Mtoto wa Hayati Sokoine, Kereto Sokoine afariki kwa kuchomwa kisu katika ugomvi na mkewe

Mie hapo sielewi kabisa mnaposema ni mtoto wa Sokoine alikuwa na miaka 32!!!!
Sokoine alifariki Aprili, 1984 na huyo mtoto amefariki Oktoba, 2017 sasa kamzaa lini?!!!!
Maana tokea Sokoine afariki hadi mauti ya huyo kijana ni miaka 33
Haya sawa 33 na mimba inakaa miezi mingapi tumboni? Tuseme alimpa Mimba mkewe siku za mwisho za uhai wake bado huamini ni mwanae?
 
Yani unaruka ukuta unaumia kichwa!kwani aliruka kwa ule mtindo wakupiga mbizi au!!!

Pumzika kwa amani Kaka,atakaepata taarifa za uhakika atupatie kuondoa sintofahamu.
 
Mtoto wa Waziri mkuu hayati Edward Sokoine,aitwaye Tumaini Ama Kereto Sokoine (32)ameuawa katika ugomvi na mkewe,hata hivyo familia inadai ameanguka kwenye Lango la kuingilia baada ya kupanda juu ili aingie ndani baada ya kukutwa limefungwa na kupasuka kichwa.
Hawezi kuwa na 32 years, labda kama siyo mtoto wa Sokoine!
Kumbuka kuwa Sokoine alifariki April 12, 1984...na hao watoto walikuwa wameshazaliwa tayari.
 
Sokoine alifariki mwaka gani kweli?

Huo umri wa mtoto mmmmmmmh
Aliacha karot akiwa tumboni. ila hii familia wanahitaji kuwa karibu zaidi na nyuwa za Bwana. maana vifo visivyotarajiwa ndani ya familia sio mpango wa Mungu. vyema wajitahidi kuvunja hii roho ya mauti za ajari. wasichukulie ni kitu cha kawaida tu.
 
Back
Top Bottom