Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

Wanajamvi na tumai nyote ni wazima wa Afya.Ningependa tujumuike ktk Uzi huu,kutaja ni cinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lkn bado hujaichoka.
Mimi binafsi movie ambayo huwa hainichoshi kuiangalia ni
BLOOD DIAMOND
Legend by Jet Li na King Gwangaeto
 
Evelyn salt
hitman ile ya kwanza.

hizo nimesha zitizama mara kibao

zinafuatiwa na
bourne legacy
lone survivor
whitehouse down
Hitman unrated,
Starring:timothy olyphant
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom