mchumi boy
Member
- Jun 4, 2016
- 70
- 31
Habari wana jf,
Naona deadline ya kuppeal mkopo imekaribia, sasa je kuna uwezekano wa kupata mikopo ya masomo maana maisha ya chuo bila mkopo ni kazi hasa tuliotoka familia za kimaskini.