Recent content by MCHUMA MBOGA

  1. M

    Nape na Mwigulu naomba mnijibu...

    Mh. Nchemba, je umesahau nyie kama ndio mmeunda serikali na ndio wenye mamlaka ya kusimamia utendaji? kama watendaji wanawaangusha mnachukua hatua gani kuwawajibisha? au mnaona ni 'wenzetu' kisha mnapata kigugumizi cha kuwashughulikia? Nadhani utakubaliana nami kwamba Watanzania waliowengi...
  2. M

    hodii!!!

    Hii ni ID yako ya ngapi hapa JF?
  3. M

    JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

    Best wishes Ndg. William.
  4. M

    Nassari; ndoto zako za kumuoa MDEE hazibadilishi yeye kuwa Mbunge wa Kawe

    Kwa taarifa yako leo jioni katika viwanja vya Leganga ktk mkutano wa kushukuru na kusherekea ushindi wa Nassari, Mh. Halima Mdee alipopewa nafasi ya kusalimia alisema ' nikiwa Dsm nilisikia kwamba Nassari anataka kunioa nikaamua kuja kuongeza nguvu na sasa kwa kuwa ameshinda ubunge na tunakwenda...
  5. M

    shamrashamra arumeru-polisi wanakimbia wananchi

    Laiti ungekuwa huku Arumeru usingethubutu kutapika kiasi hicho. Huu ndio ushabiki wa kihuni ambao mara kwa mara Dr. Slaa anaukemea. Sawa watu wana furaha hakuna ubishi lkn sio sababu ya kukusanyika katikati ya barabarani, wengine wanalala katikati ya barabara. Unajua hiyo ni barabara kuu...
  6. M

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    Nassaaari.......................dodomaaa!!!!!!! Siyoiiii ..........................mombasaaa!!!!!!!
  7. M

    shamrashamra arumeru-polisi wanakimbia wananchi

    Ni kweli kabisa mkuu, lazima tusherehekee ushindi wetu kwa njia za amani ili kuzidi kuwadhihirishia kina Lusinde na wenzake kwamba hiki chama makini - viongozi makini & wanachama makini!
  8. M

    meru

    Inawezekana una hoja, lakini inawezekana ni pumba tu na kunajaribu kuleta tetesi au majungu na hapa si mahala pake. Sasa basi ni wajibu wako kutueleza ni sababu gani zimekufanya uamini hivyo, ni mbinu gani zitakazotumika, wahusika ni kina nani, unashauri nini kifanyike ili kuzuia kadhia hiyo nk...
  9. M

    Tuitizame hii hotuba - Part One

    Haya sasa wana wa Arumeru Mashariki kazi kwenu sasa hapo 1.4.2012 kuchagua pumba ni zipi na mchele ni upi. Kwa kuwa mpaka sasa sijasikia hatua yeyote aliyochukuliwa kwa ukiukwaji wa maadili ya kampeni ya uchaguzi aliofanya, basi kwa kuanzia mpeni adhabu ya kwanza anayostahili hapo 1.4.2012 kwa...
  10. M

    Ccm na chadema jiandaeni kupokea matokeo matamu au machungu ya uchaguzi arumeru mashariki

    Kesho siku ya jumamosi tarehe 31. 03. 2012 ndiyo siku ambayo vyama mbalimbali vilivyojitokeza kuwania ridhaa ya wana Arumeru kuongoza jimbo hilo vitahitimisha kampeni zao. Mpaka sasa ni jambo la kumshukuru Mungu kwamba hatujasikia maafa makubwa ya mali kuharibiwa au mtu/watu kupoteza maisha...
  11. M

    LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki

    Sio EL pekee ndiye alizomewa. Baada ya mkutano wa Patandi kumalizika ambapo Mh EL hakuhutubia bali alitoa salaamu tu, wakati msafara wa magari ya kifahari ya Land Cruiser VX V8 yaliyowabeba Mkapa, E.L, Nnape, Sophia Simba, Wassira, Mukama na wabunge wengine wa CCM wakiondoka eneo la mkutano...
  12. M

    LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki

    Pole sana ndugu yangu Kengemumaji, your source of information is not reliable. Hakika nilikuwa nafikiri kuanzisha uzi mpya kuhusu uongo wa ITV na kampeni za Arumeru Mashariki. Lakini sitafanya hivyo na badala yake nitachangia hapa ktk uzi wako hasa kwa mikutano ya leo ya kampeni za CCM...
  13. M

    Msafara wa Mkapa, Lowassa, Nape, Mukama wazomewa baada ya mkutano wa kampeni huko Patandi - Arumeru

    Katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo 30.03.2012 kuanzia saa kumi jioni huko uwanja wa michezo Patandi Arumeru na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa magamba kama vile Mkapa, Lowassa, Wasira, Nnape, Sophia Simba, Katibu Mkuu wa magamba Mukama wabunge mbalimbali bila kumsahau mgombea wao...
  14. M

    CCM haitakufa na itaongoza milele: Nape Nnauye

    CCM ni chama kinachokaribia kufa kwani kimeshindwa kuwashawishi na kuwavutia vijana na wasomi. Unadhani hao wazee ving'ang'anizi wana muda mrefu na hicho chama? Chama ni vijana mkuu. Hivi sasa Tanzania yetu hii, nenda shule zote za sekondari wanatamka upinzani, vyuoni ndio kabisaaaaaaa usiseme...
  15. M

    Zitto: Sitagombea uongozi CHADEMA

    Hata mimi simuungi mkono kabisa, lakini hayo ni mawazo yake wewe unawashwa wapi? matusi ya nini? kama hukubaliani na mawazo yake jenga hoja sio kutoa matusi.
Back
Top Bottom