CCM haitakufa na itaongoza milele: Nape Nnauye

Nappe amesema CCM haitakuja kufa na itaongoza milele.

Ameitoa kauli hiyo kufuatia kauli zilizotamkwa na wazee 3 ambao ni Butiku, Kitine na mzee Kaduma waliosema kuwa CCM inakaribia kufa bin kutokomea.

Source: ITV taarifa ya habari saa mbili jioni ya leo

CCM ni chama kinachokaribia kufa kwani kimeshindwa kuwashawishi na kuwavutia vijana na wasomi. Unadhani hao wazee ving'ang'anizi wana muda mrefu na hicho chama? Chama ni vijana mkuu. Hivi sasa Tanzania yetu hii, nenda shule zote za sekondari wanatamka upinzani, vyuoni ndio kabisaaaaaaa usiseme. CCM haina future, muda si mrefu itakuwa ni historia.
 
Hata Gadafi wa Libya alijuwa atatawala milele na leo hii yuko wapi Gadafi??? Raisi wa Mali nae alijuwa mpaka kifo ndiyo kitamtenganisha na madaraka yake na leo hii yuko wapi?????????? weeeeeeeee hata CCM nayo inaweza kufa leo hii hii acha bwana wanaume wakiamuwaaa tu CCM chini........

CCM mbona mwisho wake uko karibu sanaaaaaa...
Yaani kama vyama vya upinzani vingekuwa na akili wakaungana kwa pamoja kumtoa CCM kesho tuu au leo jioni angetoka
 
- Wazee waliofanya makosa ya mahesabu ya retirement na sasa wapo nje ya mlo, walipokuwa kwenye mlo hatukuwasikia hata siku moja wakitetea wananchi leo mlo umeisha na hakuna matumaini ya mlo tena wameona CCM inakufa! ha! ha! ha! na Great Thinkers tunatakiwa kuwakubalia kwamba wanajua kuona mbali! REALLY! Wangesema CCM itakufa kwa vile haikuwafunga jela maana wote wana-belong huko, Kitine mke wake amewaibia wananchi hela za kodi kwa kujifanya mgonjwa kumbe muongo, Butiku kule foundation hela haziko sawa, halafu amesahau jinsi alivyoimaliza Gapex yeye na Nyakyoma, Kaduma anajua jinsi alivyoikaribia kuimaliza NMB, now wote hawa CCM haikuwafunga kama inavyotakiwa kwa sababu ya huruma, sasa wameiona inakaribia kufa!, wanajaribu tu kuficha madhambi yao na sisi wananchi kwa vile hatuna kumbu kumbu na uhaba wa mashujaaa tunawaona ni mashujaaa!

- I mean hizi attacks over Mh. Nape when are they going to produce something valuable kwa Taifa? Mimi nilidhani tuna Demokrasia ambayo kila mwananchi ana haki ya kuona na kufikiri atakavyo na hata kusema wazi, bila kumtukana anybody, hoja zikiambatana na matusi zinasababisha msomaji mwenye akili kufikiria mara mbili kama muandishi ana hoja au ni wale wale kina Butiku, Kitine, na Kaduma, kwa kweli hawa wangekwua China, sijui ingekwuaje!

- HIVI KWA NINI TANZANIA TULIIIGA YOTE YA CHINA LAKINI SIO ILE KITU VERY SPECIAL YA VIONGOZI CORRUPT? I MEAN CCM INA MAPUNGUFU MENGI SANA LAKINI HAWA WAZEEE SIO MALAIKA WA KUTABIRIA KIFO CHA CHAMA WALICHOKIIBIA NA KIKAWASAMEHE BADALA YA KUWAPATIA ZAWADI MAALUM KAMA YA CHINA!

Es!
 
Nape akamuulize Rais msitaafu wa kenya MOI alisema KANU haitakufa na itaongoza milele. Alikuwa Rais wa kwanza kuwashangaa wenzake kuwa inakuwaje wanaachia nchi wapinzani wakati wana jeshi? aende akamuulize endapo jeshi liliisaidia KANU kushinda na cha kufurahisha kimekuwa moja ya vyama vidogo vya upinzani nchini kenya. Ndivyo itakavyotokea hata kwa chama cha magamba c-c-m
 
Back
Top Bottom