shamrashamra arumeru-polisi wanakimbia wananchi

Sera za chadema nazipenda sana lkn kinaniboa zaidi ktk suala zima la ubinafsi udini na ukabila, wala hakuna ubishi chama hiki kitapoteza dira maswala ya udini kamuuliza Mwigulu kanisani kani si maala pa kampeni
 
Sizitaki mbichi hizi.
 
sura yako mpya lakini akili za kizee,
 
muda unavyozidi kwenda ndivyo hali ya furaha inavyozidi kuongezeka.
Hapa maeneo ya usa mpaka tengeru kuna maandamano makubwa sana.gari moja la polisi limeshindwa kupita na hivyo kugeuza haraka na kukimbia baada ya vijana kuanza kuwatishia polisi.

Asiyekubali kushindwa si mshindani. Tunataka amani Arumeru!
 
Picha vp wakuu?

1.jpg
 
Huu sasa ulimbukeni, hata sherehe mnataka kuzipangia kanuni? wenzenu walikoswa koswa kumwagiwa matindikali, kupigwa risasi, kukatwa mapanga na mashoka, macho yamewavimba kwa mabomu ya machozi waliyovurumishiwa na mapolisi ili kuwatisha waachane na mkakati wa kulinda kura! leo wameshashinda mnataka washerehekee kinyonge, lazima, narudia lazima washerehekee kwa kujinafasi, POLICE MUST STAY AWAY TO SPARE OUR ANGER WHILE CELEBRATING. THEIR PRESENCE IS MOKING. Inatukumbusha matusi ya lusinde.

Laiti ungekuwa huku Arumeru usingethubutu kutapika kiasi hicho. Huu ndio ushabiki wa kihuni ambao mara kwa mara Dr. Slaa anaukemea. Sawa watu wana furaha hakuna ubishi lkn sio sababu ya kukusanyika katikati ya barabarani, wengine wanalala katikati ya barabara.

Unajua hiyo ni barabara kuu Moshi - Arusha, watumiaji ni wengi ie magari ya abiria, mizigo, ambulance zinazoelekea hospitali ya rufaa ya KCMC kutoka hosp mbalimbali za ukanda huu. Kwa hiyo wagonjwa wafie njiani wakisubiri wahuni wamelala barabarani? Mbona walikwepo watu wastaarabu wenye furaha sana wakitembea pembeni mwa barabara wakielekea kwenye sherehe viwanja vya leganga?

Huo ni uhuni wa watu wachache ambao haupaswi kuungwa mkono. Chadema sio chama cha wahuni. Wewe na hao wanaolala barabarani mfuateni Lusinde huko CCM kwani ndio wa calibre yenu.
 
Back
Top Bottom