Recent content by mchovu wa fikra

  1. mchovu wa fikra

    Rais Dkt.John Magufuli anawatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu ya Eid El-Hajj

    Vipi wale wasio n.a. simu za Twitter? ? Aache uzwauzwa
  2. mchovu wa fikra

    Makinikia; Kama Tumeshindwa, Lissu Aombwe Radhi kwa Kutosikiwa na Kuchafuliwa

    Shida ya LISSU ni kwamba ANATAKA YA WARIOBA MEZANI KWANZA
  3. mchovu wa fikra

    Jux amlilia Vanessa Mdee

    Kiki imekuwa KUBWAAAA SASA WANATAFUTA NAMNA YA KUIZIMA
  4. mchovu wa fikra

    Ndugu zangu waislamu hii ni kweli!?

    Watu wamechukua tafsiri isiyo sahihi hasa waislamu ambao dini yao wameibeba kwa matukio tu na sio kwa elimu ya dini yenyewe. Mfano unaweza ishi na rafiki yako usijue km ni muislamu ila utakuja kulijua hilo wakati wa mwezi wa RAMADHANI,akitaka kuoa, ama sikukuu ya idd. LAKINI si kweli kwamba...
  5. mchovu wa fikra

    Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

    Watu wakiacha mihemko ya uteam HII nyimbo ni KALI NA HAIFANANI NA YA MSANII YEYOTE WALA HAIFANANI N.A. NGOMA ZAKE ZA AWALI. HONGERA KWA MANWATER HONGERA KWA ALIKIBA SIO kama hautuhitaji kwenda international LA ila kama tunakwenda international twende na Vya KWETU KAMA AJE NA SEDUCE ME....
  6. mchovu wa fikra

    Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam

    Kwa kinachoendelea Kimara hili jitu linaforce kuwa mtu wa watu. Lakini huyu mwana ana roho mbaya kama bichwa lake
  7. mchovu wa fikra

    SIAYA, KENYA: Aliyekuwa msimamizi msaidizi katika Uchaguzi Mkuu akutwa ameuawa huko Sega

    UMEROGWA WEWE ,wako wapi akina Deo Filikunjombe,Selina Kombani,Mzee Komba wa TOT,Yuko wapi Abdallah Kigoda??? Hawa baadhi walikuwa teamLowassa original,
  8. mchovu wa fikra

    ACACIA wafunguka kuhusu kudai serikali Sh. Trilioni 4

    LAKINI ACCACIA MUNGU anawaona SISI tunawadai trl. 400 wao wanatushitaki kwa trl.4 tu tuwalipeni wasitutishe buana... Serikali muda huu iko kama mtu ambaye yuko na wakwe zake alafu ana kijambo wakati anajua kuwa akijamba kuna mawili 1.huenda kajinyea Kwa kuhara 2 .kajamba kawaida Mzee wa kiki...
  9. mchovu wa fikra

    Beka au Dogo aslay nani wa kuibeba Yamoto band?

    Beka ni machine ya umeme ambayo iko katika kijiji ambacho REA hakufika nA Aslay ni machine ya umeme ambayo kila siku iko kwa fundi. .. Beka ni mkali sana ila amekosa support toka kwa fella,tale na WCB kwa ujumla. Kura yangu kwa BEKA MAVOKO
  10. mchovu wa fikra

    Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

    Wakati mitandao ya simu inauza dakika na meseji tu hilo halikuwa na shida,TATIZO ni kwamba sasa MITANDAO YA SIMU INAUZA MB.kwahiyo demu anainvest kwenye kufurushi cha jero anaingia fb au whatsapp au badoo au insta na kuanza kutafuta faida kutokana na mtaji wake wa jero. Mademu siku hizi hata...
  11. mchovu wa fikra

    Serikali imejaa wasio na vigezo, ufanisi utatoka wapi?

    Tanzania ya viwonder inaload kwa kasi sana,wameona watumie AKILI kupata pesa ndo UBASHITE WAO UMEWAFIKISHA HAPO
  12. mchovu wa fikra

    Kutoka Mahakama ya Kisutu: Tundu Lissu apata dhamana

    MAGUFULI 0-LISSU 7 HII ILIKUWA TRICK YA KUMUAMINISHA ******** KUWA JAMAA HATOTOKA. KWA SASA NCHI HII INA MARAIS WAWILI YAANI LISSU NA HUYU BWEGE . YULE HAKIMU KULE YUKO CHINI YA LISSU NA KWA KUWA HUYU BWEGE HANA AKILI ,HAKIMU HAKUTAKA KUMSIKILIZA BWEGE.
Back
Top Bottom