Tofauti kubwa kati Ya Kiba na Mondi; Kiba hajawahi kukopi, kuiba au kutuhumiwa kuiba wimbo au biti

Laana ya wizi siku zote haijawai kumuacha mtu salama, angalia viongoz wa kiafrica wanaoiba kura wanaishiaga wap halafu apo apo ndio utakuja na jibu kua kumbe ndio maana timu yote ya wachafu n sawa na kiba mmoja,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamdhoofisha kiba kwa kumfanya ajione anaonewa na diamond,watu wanalalama kuwa diamond kamuonea kiba kwa kutoa video wkt kiba katoa ya kwake,wabongo bana,so hamuelewi muziki ni biashara,mwacheni kiba basi ajitutumue aprove kuwa yeye kweli ni king,mm besides diamond the only king of bongofleva ni mr nice,niambie rekodi gn ya mr nice kibakuli kaivunja zaidi ya majungu tu,bs km mr nice sio King kibakuli sio king na king ni diamond,diamond afananishwe na mr nice na sio uchafu km kibakulo,mtu hana rekodi yoyote mnamwita king,stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sioni ajabu!
Wimbo wa Malaika nakupenda.. aliutunga nani? Wimbo , Nipate lau nafasi aliutunga nani? Wimbo,No Woman no cry aliutunga nani? Fuatilia nyimbo nyingi za Boney M,zilikuwa walizoimba wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom