mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,727
- 11,950
Huu ni unyanyasaji kwa wafanyabiashsra. Mliwalazimisha wanunue mashine za EFD kwa gharama kubwa. Hata aliyekua na biashara ya mtaji wa milioni 2 alilazimishwa kununua mashine ambayo haikupungua laki 8. Watu wakafunga mikanda wakatii agizo.
Leo TRA wanatoa list ya mashine zisizotakiwa sokoni maana zina matatizo. Kumbuka mashine hizi ziliuzwa na TRA kupitia mawakala wao. Leo zinaonekana zina tatizo anayebebeshwa mzigo ni mfanyabiashara (ambaye sio sehemu ya tatizo la mashine hizo). Anaagizwa kununua mashine nyingine kabla ya tar.9/9/2017. Yani notice ya less than a month mtu atafute laki 8 nyingine kununua mashine. Na hiyo aliyonayo arudishe TRA. This z a big joke.! Nadhani busara ingekua TRA kuwabadilishia na kuwapa mashine nyingine coz hizo walizonazo walizinunua kihalali, hawakuiba. Wala matatizo ya hizo mashine hawajasababisha wao. Sasa kwanini kuwalazimisha kununua nyingine?
And let me ask u something ninyi watoza ushuru. Hivi nikinunua bidhaa dukani na baada ya muda nikagundua hitilafu si mnatushauri turudishe bidhaa hiyo ili muuzaji atubadilishie as long as tuna risiti? Sasa mbona hiyo theory doesnt apply to u? Kwanini mnawalazimisha watu wanunue EFD mpya wakati nyie ndo mliwauzia zenye matatizo? Na hizo mtakazowauzia mara ya pili zikikutwa na tatizo tena, mtawalazimisha kununua nyingine tena? I think busara ni kuwaambia wenye EFD Mashine zilizotajwa kwny hiyo list waje na mashine zao kwenu muwabadilishie. Otherwise huu ni uonevu.!!
Melisa.
TAKE. I have worked with these companies and closely with TRA,kampuni zilizokua zinasambaza hizi mashine wala hazina makosa.Zilipewa tenda na zikapangiwa manufacture.Yaani kuna approved manufacture and approved supplier.Kati ya vitu vilikua vinanibore ni kuitwa na officer Wa TRA na kuambiwa machine zenu mbovu!
Yani wao wafanye research ,wapeleke hizo machine maabara na wajiridhishe kuwa zinafaa kutumika TZ halafu wakupe tenda ukanunue kwa Fulani then ukisambaza wanakwambia ni mbovu.Kichekesho zaidi mfanya biashara analazimishwa kubadilisha machine kwa gharama zake hata pale ambapo uharibifu sio kosa la mfanya biashara.Tanzania tutangoja sana maendeleo we are not serious at all!Kila mtu hufikiria deal hata kama hicho anachofanya madhara yake yataonekana ndani ya muda mfupi!
Mr mkiki.
Sent using Jamii Forums mobile app