Habari za Muda huu wana jamii poleni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu.
Nina taarifa nzuri kwa wale wanao hitaji viwanja vilivyo pimwa na kuandaliwa hati. Nina viwanja vilivyo pimwa vilivyoko Kimbiji wilaya ya Temeke.
Viwanja viko umbali wa kilomita 30 kutoka Feri, na Umbali wa mita 600...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.