Ndege yaanguka ziwa Manyara

Ndege yaanguka ziwa Manyara

ajali ya kawada hiyo....yanpinduka mabasi yanaua watu makumi kwa makumi!

pole mliopatwa na ajali hiyo...maisha yaendelee
 
Duh, nilifikiri mwandishi amekosea tu kuandika, kumbe kweli kuna shirika la ndege linaitwa tanzanair? Sijawahi kulisikia.
Lilikuwepo hata kabla ya Air Tanzania. One of the oldest in Tz.
 
Hapo ni Mungu atakavyopenda ,serikali ya Tanzania haina cha kusaidia ni kukimbia na kuwaita waandishi wa habari na kuwapa taarifa tu kuwa imeanguka
 
Air Tanzania = Tanzanair

nyie ndio kina Mulugo. Tanzanair na Air Tanzania ni vitu tofauti. ungekuwa na Blog it means ungeshawapotosha watanzania na wenzio wangeCopy na Kupaste kwenye blog zao coz ndio zenu Vilaza.
 
JK style, unataka iundwe tume??? Sababu ni uchakavu wa hizo ndege na uzembe wa mamlaka husika.>>>
Duniani kote inafanyika hivo, ikitokea ajali ya ndege ni lazima uchunguzi ufanyike kujua chanzo cha ajali. Hizo sababu ulizotoa wewe zimekaa ki-shehe Yahya zaidi.
 
Back
Top Bottom