TAFADHALI: Inahusu WANAWAKE wenye MIAKA 30 na KUENDELEA

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Mimi ni kijana mwenye miaka chini ya 30. Nahitaji kuwa na rafiki wa kike mwenye miaka 30 na kuendelea, tuwe marafiki wa kuwasiliana na kuonana inapotokea wote tumepata nafasi.

Ningependa awe mwanamke anayejiheshimu ambaye tutapeana mawazo ya kujenga zaidi na si ya ovyo ovyo tu. Sitajali ana kazi au hana, dini wala kabila cha msingi awe mtu mwelewa.

Naamini kuwa na rafiki wa kike aliyenizidi.umri atakuwa kama mtu mwenye kunielekeza ninapokosea na kuwa mshauri katika mambo yangu.

Nahitaji rafiki mkweli na asiye na dharau. Awe na miaka yoyote ile lakini zaidi ya 30, Asanteni sana.

email: mchunguzihuru@hotmail.com
 
email: mchunguzi2013@hotmail.com

mazingira unayoishi,,,unayofanyia kazi pia jaribu kuweka tangazo hili,,,,
 
Ngoja wanakuja tena leo Bathdei ya Yesu wanakuja tu wasubiri
 
mazingira unayoishi,,,unayofanyia kazi pia jaribu kuweka tangazo hili,,,,

nimemaliza chuo UDSM, sijaajiriwa ila ninafuga baadhi ya mifugo maeneo ya bagamoyo ila mara nyingi nakuwepo dar. kwa mengi zaidi tunaweza wasiliana kwa email au pm. asante
 
Kwa nini wanawake mkuu??

kwa kuwa nina marafiki wengi wa kiume na hao ndio walionihamasisha mimi kuingia katika ufugaji nakuacha kufikiria kuhusu kuajiriwa bali nijiajiri. hata hao marafiki zangu wa kiume wengi wao wamenizidi umri hivyo ninakuwa napata mawazo kutoka kwa watu wenye uzoefu zaidi katika maisha
 
Kwa nini mnapenda waliozidi umri na sio umri wako?

si mara zote lakini mara nyingi wanawake walio chini ya miaka 30 wanafikiria zaidi mapenzi na si maisha, SI WOTE. hivyo naamini kuwa na urafiki na wanawake waliozidi miaka 30 kutanifanya nipate mawazo mazuri zaidi kuhusu kupambana na maisha. asante
 
hapa hatuna kijana na mme wa maana wa baadae! yani wewe mwanaume unataka uelekezwe na kuongozwa? au motto sio riziki?
 
Hivi unajua kwamba hata miaka kumi nayo ni chini ya miaka 30?

Ungeweka rage kama ni 25 to 30 or alike!
 
hapa hatuna kijana na mme wa maana wa baadae! yani wewe mwanaume unataka uelekezwe na kuongozwa? au motto sio riziki?

asante kwa mchango wako mkuu. binafsi sina tabia ya kudharau mawazo eti kwakuwa yametolewa na mwanamke kwani hata mama yangu ni mwanamke pia, naheshimu mawazo ya mtu yeyote yule cha msing yawe ya kujenga.
 
Jicho TAI, HUJUI MWANAMKE ANAWEZA KUKUONGOZA VIZURI SANA? au unaonaje Mkuu?
 
asante kwa mchango wako mkuu. binafsi sina tabia ya kudharau mawazo eti kwakuwa yametolewa na mwanamke kwani hata mama yangu ni mwanamke pia, naheshimu mawazo ya mtu yeyote yule cha msing yawe ya kujenga.

utadharau vipi mawazo ya mwanamke wakati hao ndo unahitaji wakushauri, wakuelekeze na kukuongoza?
 
Back
Top Bottom