Recent content by mchorazombie

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara serikalini degree 1

    U ukitoa load board utakunja laki nne na points.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Hili si jambo lakujiuliza hata kidogo, watu wenye sifa tajwa watume maombi ya ajira then kwenye kupiga kura watajua wenyewe maana si lazima wawachague hao waliotoa ajira.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Hao wenye taaluma za engineering watapelekwa kwenye technical schools mbalimbali wakawanoe vijana zaidi, good idea.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nina document zote muhimu (kadi ya CCM, na cheti cha vyuo na vyuo vikuu cha CCM) naombeni kazi

    CV yako peleka ofisi yoyote ya CCM, huwezi kosa kibarua.
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 PICHA: Tofauti ya umati wa watu kati ya CHADEMA na CCM

    Usisahau hayo mabasi na maroli yamewachukua watu kwa trip kadhaa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa mpakani kati ya Rwanda na Uganda wazidi kufukuta

    Mkuu bora likizo iishe warudi shule.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili bado hataki kazi kama alivyoimba mwaka 2014

    Mkuu hii mitandao ya kijamii, cerebrities na watu wengi huwa wanapost vipicha wanakula bata nk ili waonekane wana maisha mazuri ila in reality si hivyo.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka nianze kuenenda kisomi

    Soma nije kukuajiri.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ndugu yangu Nkanga stress zitakuua, acha kuwaletea uchawi vijana. Ni PM nikupekazi yakunifulia gwanda walau upate ela za vocha.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fumbo pasua kichwa: Mpelelezi alimjuaje muuaji wa Mzee Kambi?

    Jibu lako linauzito na usahihi kwa kiasi kikubwa Sana mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za watumishi 2016/2017

    Kama namba tumeshaisoma, bado kuiandika sasa.....
  12. M

    JamiiForums Tanzania Marekani watengeneza Ndege mpya ya vita ya aina ya F35 fifth generation

    bandiko lako limejaa mahaba sana.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

    wacha kutoa povu hapa we mkorongwa tope.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri kusitishwa kwa muda uamuzi wa Waziri Mkuu kuhamia Dodoma ifikapo mwezi September mwaka huu

    mkuu umesahau kua kaulimbiu yetu ni mbele kwa mbele..
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwingia dem ambaye hujawai onana nae

    ukikutana naye kwa mara ya kwanza muamkie kwanza "shikamoo" then anza kuflow mistari ya nyimbo ya muheshimiwa temba-nampenda yeye.... hasa ile verse inayoanza hiv "sikujui, hunijui ila jua mimi nakupenda, mungu akipenda tutaishi kama wapendwa..........
Back
Top Bottom