my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
- Thread starter
- #41
I don't understand you 🙃 #SorryNotSorryIdiot
I don't understand you 🙃 #SorryNotSorryIdiot
Saa hivi una 19 yrs ehee??Amefanya nini? Btw mimi sio kitoto
Nmemjibu hapo chiniHeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasomi hawapo jf, humu kuna matajiri tu,
Wewe ni katoto,Mada zako zinajioneshaAmefanya nini? Btw mimi sio kitoto
Miwani hapana sipendi kuvaa miwani labda nivae lenzi za macho au hazifai lazima miwani?
Huna pesa ya kuniajiri mimi weweSoma nije kukuajiri.
Ndio ni mtu mzima sasa.Saa hivi una 19 yrs ehee??
Ndio ni mtu mzima sasa.
Neuro science? Duh neurology ngumu sana. Btw asante kwa ushauri wako.Mdogo wangu mimi ni neuro scientist
Ila nayafurahia maisha yangu ya hapa chit chat
Nafurahi sana watu wanapofurahi kwa koment zangu za masihara
Maisha hayapo hivyo hata siku moja
Enjoy Your Life , Furahia maisha yako apart from usomi there is other life unasoma ili uishi th lucrative life
Ila Muda wa shule usishinde sana jf iogope kama ukoma
Naamini Umenielewa
Mimi sio muongeaji naongeaga huku tu online. Miwani ya John kisomo ndio ikoje? 😁Ukitaka kuwin hilo zoezi lako usiwe too much talkative vaa ki usmart watu wataamini hata kichwan mwako kupo smart.Miwani ya lenz nmhuvai tu hovyo unavaa kwa sababu ya tatizo la macho vaa miwani kama ya JOHN KISOMO.
Awe na macho km kabanwa na mlango otherwise awe li-Pumba tu[emoji23][emoji23]Anataka awe kama Prof Kabudi
Baada ya kumaliza chuo ukishakua jobless usisahau kurudi huku kwenye jukwaa letu pendwa...Mwezi huu wa tisa naanza chuo rasmi mwaka wa kwanza, naenda kusoma radiology. Sasa naanza ku behave kisomi you know na acha mambo ya kijinga nakuwa msomi. Nitakuwa nawaandikia mawili matatu kule JF doctor. Kwasabau nataka ni behave kisomi Nitakuwa siingii sana huku mmu nitakuwa nasaidia watu wenye matatizo kule kwa forum yetu doctors [emoji23] nabadilisha forum kwaherini mmu. Nawapenda sana [emoji178]
Doctor mtarajiwa DR MY NAME IS MY NAME
Awe anaangalia kama Mr. TortoiseTafuta na miwani
Ni ngumu lakini ni rahisi kwa anayesoma na ku concentrate kwenye mambo yake kipindi namalizia ......Neuro science? Duh neorology ngumu sana. Btw asante kwa ushauri wako.
Siwezi kuwa jobless nitajiajiri 🙃Baada ya kumaliza chuo ukishakua jobless usisahau kurudi huku kwenye jukwaa letu pendwa...
Mimi sio muongeaji naongeaga huku tu online. Miwani ya John kisomo ndio ikoje? [emoji16]