bastola ni silaha kama panga, ngumi nk. tofauti ni efficiency. tatizo watu wanafikiri bastola hufanya kazi yenyewe, training, discpline na ujasiri nda mpango mzima.
heshima kwako
Nimefurahia wote waliochangia,naomba nijuzwe sheria ya mtu kujilinda mwenyewe kwa kutumia silaha za moto kwa tanzania inasomekaje.mfano wajanja walikuja kwenye duka langu la mpesa na mapanga wakachukua mzigo tena nilikopa bank wakaondoka nao..
Je sheria inasemaje kama nina bastola,naruhusiwa...
Mtangazaji:Ni mchezaji gani hutomsahau katika historia yako ya soka?
Casilius:....ah,,Van P kaniaibisha ile Ruben sitomsahau mana amenifanya nifikirie kustafu timu ya taifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.