Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 33,632
- 40,195
mkuu hio thread nilioanzisha wataalamu wamenipa zuri sana.. siwezi nunua tecno
Ninatumia L3 nimeifurahia sana. Na nataka nichukue p9 au n9 tablet
Mkuu nadhani wee ni Muumini wa TECHNO hebu nisaidie maelezo yakutosha khs MIN PAD ya TECHNO Uzuri na Ubaya wake nifanye maamuzi Watu humu tunatofautiana Pumzi ya Mfuko mi cdhani kuna mtu kutumia kitu cha Gharama..! Niliwahi kutolea mfano wa Pikix2 zamani ilikuwa ni Mwendo wa BAJA na kila aliekuwa nayo aliheshimika Kitaa bt nw Kila mtu anamiliki ni Kweli ubora utotafautiana bt Huduma ni ileile..!
ulichoambiwa + akili yako= uamuzi Ansmkuu hio thread nilioanzisha wataalamu wamenipa zuri sana.. siwezi nunua tecno
PAD mini , ina sifa zifuatazo:
1. Single line
2.3G
3.dual camera back camera 5Mp
4.dual speakers
5. 7 inches
6. RAM 1 GB
7. Processor 1.2 Quadcore
8. Inakuja na plastic cover
9. G sensor, Proximity sensor na light sensor
Asante kwa maelezo ndg,,! Swali la mwisho unadhani hiyo MIN PAD na P9 ipi inapiga kz bila zengwe..! Naulizia ili nipate ufahamu wahiyo kitu then ntachanganya na Zangu...!
sawa niambie sasa mtengenezaji wa tecno hiyo original ni nani???
mimi tecno cjaikubal hata kidogo,windows fone oyeeeh!...
My eyes !
shiny c are you serious ?
Tecno ni simu nzuri kwa watu wa kipato cha chini na wasio na matumizi makubwa ya simu,lakini bado Tecno hawajafikia viwango vya akina Samsung,htc,lg na hata lenovo
Pole sanaayaaaaaaa umenikumbusha LG yangu jaman nilitaman niloge aliyeiba
Waeleze wap.uuzi hawaTecno hata unipe bure sichukui,techo sio sim ni likifaa la mawasiliano tu. Mtu huwezi kutoka huko umebanwa na haja kubwa unakuja hapa kusema eti samsung,nokia,lg,iphone watasubiri kwa tecno,tecno???
Atakaye/anaye pinga mjadala wa mtoa mada hapo juu simshangai,kwani atakuwa na sababu zifuatazo:-
1.atakuwa na wivu/roho mbaya(hataki wengine wawe na simu yenye uwezo kama yake kwa bei rahisi kwa sababu yeye kanunu bei kubwa)
2.Ushamba(kutaka kumiliki simu yenye vitu ambavyo kikawaida hana matumizi navyo)
3.Ubishi (anatambua kuwa alikurupuka kununua simu ya bei ghali, ila hataki kuuzia wajinga wenzie ili anunue tecno na hela nyingine anunulie vocha za mwaka mzima ila mbishi)
Nb:bila hii tecno m3 nisingeweza kupost huu ukweli.