Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,055
- 781
- Thread starter
- #61
picha nyingine ya mabina alivyouawa
Hao unaowaonyesha benki statement ni Polisi au mkuu wa mkoa na kamati yake ya usalama? Maana kama ni polisi, nahisi tunahatarisha maisha zaidi
Mkuu lazima ujue kuwa si bastola inayoua lakini mmiliki wake.Sawa na hongera .
Lakini hoja hapa ni wanaosaidiwa na bastola kama wewe (kama ni kweli) ni wachache sana ukilinganisha na wale wanaokufa nazo! Na je unamiliki bastola kwa kujilinda tu na hao vibaka?
Umesahau UKIWAONA DITOPILE MZUZURI