MCHOMEBEDA
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 144
- 43
Kama ni gari ya maliasili usijeshangaa hayo magunia ndani kuna menoya tembo,,,tetetetete||||||||||||||||,hayo ni mawazo yangu ya kufikirika tu
Nakumbuka enzi zile za mwalimu.. Magari ya umma na serikali mwisho jumamosi saa 7 mchana.. Jumapili hukuti gari la umma wala serikali barabarani sembuse kubeba mizigo kama hiyo..
Huu umezidi matumizi ya nyumbani. Pengine ni wa biashara.
Kwani magari ya umma yalitakiwa yatumikeje bro? Kwanini imekuwa na cabin na sehemu ya kuwekea mzigo? What if huo mkaa ni wa matumizi ya ofisi? Kwani wafanyakazi hawali? Ulifanya jijihada zozote kujiridhisha kwamba mkaa huo ulipakiwa kibiashara?
![]()
Aisee ulipotelea wapi?
Haya sasa majungu. kama wewe ni me basi nihatari.Hii nimeikuta Vigwaza mkoani Pwani, juzi.
Kivipi mkuuu. Nakushauri tafuta pesa acha kupoteza muda huwezi kumshughulikia mtu yeyote. ukiwa na pesa huwezi kuwa na mawazo hayo.Wanasheria watusaidie,je katiba yetu inaturuhusu sisi walipakodi kuwawabibisha watumishi wa umma wanapokiuka sheriazakazi.?
Hilo ni gari la kubebea mizigo pia ndio maana lina bodi nyuma, unataka libebee mafaili tu?. gari liwe la binafsi au la serikali ni kwaajili ya matumizi ya binadamu na matumizi yenyewe ndio hayo. kama wewe halijakunufaisha komaa ufikie walipo wenzio wanaonufaika![]()
»Noma sana kodi yangu inatumika vibaya,mengine yanasanya abiria,wengine wanapiga nyoka(wanakunywa maziwa) aka wanaiba mafuta na kuyauza
»Magari ya serikali nilisikia mwisho saa 12 jioni kutembea lakini mengine hadi saa 7 usiku yapo yanapiga dili.
Hii nimeikuta Vigwaza mkoani Pwani, juzi.
Huu umezidi matumizi ya nyumbani. Pengine ni wa biashara.