Zama hizi za ukimwi na magonjwa bado kuna watu wanaendekeza kupiga peku bila hata kupima afya? Daaah tutaendelea kuteketea kama mchwa. Jifunze kujipenda aisee
Sidhani kama queen darleen kawahi kuishi tandale. Nadhani amekulia maghorofa ya kariakoo pale round about na kasomea muhimbili primary. ni mtoto wa kariakoo huyu alihit toka 2000 na dully kwenye julieta na zilizofuatia kibao
Mkubwa nadhani Fred Maro si ndiye hasa mpigapicha mkuu wa raisi anayetambulika kiutumishi? Maana navyoelewa Michuzi alilazimishwa tu kuwa mpiga picha wake kwa sababu ya uSaigoni wake tu. The sad thing vijana wa Michuzi media wanatumia baadhi ya vifaa vya upigaji picha ambavyo ni mali ya umma...
JB nae alikuwa pedeshee miaka ya nyuma kidogo aliuwawa kwenye tukio la ujambazi Morogoro (kama kumbukumbu zangu ziko sawa). Kifo chake kilikuwa na utata maana wengine wanadai polisi walimuua maksudi na kuchukua madini aliokuwa ameenda kuyanunua maana alikuwa anapiga dili za mawe. iliishia juu...
Wang'waa faza hapo kwenye red mimi mwenyewe nilimshangaa alikuwa anaongea utafikiri ni viumbe vyenye permanent address kuwa ukimfata kesho au keshokutwa utamkuta anakusubiri.
Mafua ya kuku ni hatari. Kama huna hela kwa sasa chukua kidonge cha tetracycline kipasue changanya kwenye maji umnyweshe haraka. kwa vile ni ugonjwa wa kuambukiza unaweza kuwapa kwenye maji na kuku wengine ili wasishambuliwe mpaka hiyo jumapili utapopata hela ya chanjo.
Ni busara hasa kama ni shambani kwako na unapita chini ya miti kuvaa kofia ya pama au zile za construction mpaka utakapomaliza kusafisha eneo. Kwa kifupi nyoka anaogopa binadamu na binadamu nae anaogopa nyoka.. Kwa maisha ya kila siku ni ngumu kukutana nae unless kama sio tuliovamia maeneo yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.