Recent content by Mchimbaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yatakayojiri 2016 katika sekta ya Milki (real estate), Bei za pango kushuka

    Napinga kushuka Kwa bei ya Pango, Kujengaa no Gharama
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa muda mpaka saa 12 jioni kwa mawaziri wasiopeleka tamko la mali watakuwa wamejiondoa

    Safi sana twapendaa kupata hatua zitakazochukuliwa Kwa wale watakaovuka deadline
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga,kwetu Buyuni kuko hivi baada ya mvua

    "Kwa hiyo watandike makoti yao mpite?Wana mengi ya kushughulikia,polepole watafikia hizo barabara" Ww unaongea pumba gan ww ----- ww? Umbal mtu unalip naui buku kwend kurud buku ikichelewa kurud andaa 7000 tsh mpk 10000 tsh ya boda boda.. Wajawazito zikikaribia sik za kujifungua wanaham mbal na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga,kwetu Buyuni kuko hivi baada ya mvua

    Mnyika hata asipopiga kampen jimbon kwake hakuna wa kumng'oa kazi yake imetukuka bungeni. Uwepo wake umekuwa ni tushio kwa spika na wanaccm bungeni, amekuwa akitetea vyema masilah ya watz. Ubungo kama hawakutak njoo Ukonga, maana Mwaiposa hana chake huku.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rich gang: Mume wa Zari yuko tayari kumfadhili Ali Kiba

    Wameona fulsa bongo hao hamna lolote, wajing ndio waliwao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga,kwetu Buyuni kuko hivi baada ya mvua

    Mama mwaiposa hafai. Umbali wa km 7 mombasa bomba mbili nauli 1000 ukiiliza barabar mbovu.. Yaan kipato chote chaishia nauli tu. Yeye kahama jimbon hayupo.... Hata iweje atafute jimbo liingine huku hatumtaki..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua biashara ya studio, ushauri

    unayoofisi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    nina pdf, ila nimegoma kufunguka
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mishahara mipya ya vigogo wa kenya baada ya uchaguzi mwaka huu hii hapa....

    Kwanini mishahara ya viongozi wetu (Tz) haiwekwi wazi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania ADC KWA MARA YA KWANZA KATIKA HISTORIA yashinda chaguzi

    kirefu cha " ADC" ni nini?
  11. M

    JamiiForums Tanzania YESU amenipa kazi UN

    jina la Bwana Lihimidiwe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Neman chilomo alipotelea wapi?

    "wanye tetesi tunaomba."
  13. M

    JamiiForums Tanzania Neman chilomo alipotelea wapi?

    wanye tetesi tunaomba.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    population haikuwa kubwa, na wengi walikuwa waelewa wanachofanya
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The 2nd 2013 Kenyan Presidential Debate.

    Uhuruu kashindwa jibu, familiya inamiliki kiasi gani cha ardhi?
Back
Top Bottom