Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Jamani mbona mimi naona gharama tu, hela ya kuwalipa hao marais na wabunge itatoka wapi? Kama sio kuanza kutupandishia kodi. Na hamna details za kueleweka ya vyazo vya mapato vya serikali za Zanzibar na Tanganyika?
 
Marais watatu kweli ni tatizo ila pendekezo zuri ni kua na mawaziri wakuu wawili yaani mmoja awe wa bara na mwingine awe wa Z'bar. Halafu tutakua na Rais mmoja wa JMT.

Kuhusu vyanzo vya mapato sioni kama kuna tatizo ilihali Z'bar ya sasa inajiendesha kama nchi kupitia vyanzo vyake ndivyo hivyo hivyo itakavyokua kwa Tanganyika.
 
Nachoogopa ni kwamba hamna mtu anataja specific vyanzo vya mapato, kwa mfano wewe unasema "hivyo hivyo", je ni vipi? Navyofahamu japo Znz inajiendesha kama nchi lakini bado bara tunawapa fungu kubwa kupitia serikali ya Muungano.
 
A Strong Nation comes from the Strong Constitution. A weak constitution gives a weak nation. Now that we have Bunge la Katiba ambalo limeelekea mlango wa Kisiasa hata wajumbe walioteuliwa wameelekea ki-siasa, we are likely to get a weak constitution and we will have a weak nation.

Hata Kingune na Paul Kimiti ni wawakilishi wa NGO? Shame:embarassed2:
Ndio wazee wenye Busara hao lazima wawepo
 
Nachoogopa ni kwamba hamna mtu anataja specific vyanzo vya mapato, kwa mfano wewe unasema "hivyo hivyo", je ni vipi? Navyofahamu japo Znz inajiendesha kama nchi lakini bado bara tunawapa fungu kubwa kupitia serikali ya Muungano.

Hapo imekaa vizuri Kabisa Hamna Tatizo kabisa kwa serikali Tatu na Hilo Halipingiki.CCM walie tu na pendekezo lao la 2 govn tr
 
Mlalahoi

Mzee Mwinyi alitufungua kwa kuruhusu kusajili seminari na mwaka 1992 Al-haramain ilikuwa ya tatu kitaifa kwa A level.

sijui kama unajua Private school ya kwanza Dar kuwa na combination kama ECA n.k ni AL-Haramain.mfano mzuri mwanasheria makini Issa maige ametoka hapo,

Masjid Quba inametoa vijana wengi wazuri tu nayo.Mwinyi kafanya mengi mazuri kwani kipindi cha Nyerere hata msikiti mzuri tulikuwa hatuna ukitaka kufadhili msikiti siku ya pili unakamatwa muhujumu uchumi na hata vyuo kama Tumaini university ni matunda ya Mwinyi asingekuwepo basi baadhi ya watu wetu wasingekuwa na degree(kuna waislam wachache wame graduate pale) pia huoni Taasisi nyingi tu za kiislam zikaja jee zingepatikana kipindi cha Nyerere nadhani unaona mashirika ya Hijja yameongezeka, Ruksa kafanya mengi sana.

lakini baada ya Professor MALIMA kung'amua unyama wa wizarani-elimu na baraza ambapo kulikuwa na wachungaji maalum kuwadhibiti waislam na hata sasa ukiona shule zinafanya vibaya ni kazi ya kanisa ndugu yangu.

nakupa mfano mzuri Mnyika aliposoma seminary aliondoka na A kila soma one kali lakini A level alipokwenda Tambaza akaambua division three ya mwisho huo ni ushahidi seminary za kikristu majibu yanatengenezwa mfano Mlalahoi apewe one point saba n.k jiulize toka A saba hadi three ya mwisho?

wewe ni mwandishi mwandamizi umesahau mkasa wa shule ya St.Mathew kukamatwa na mitihani? miaka mitatu iliyopita?kisa mwenye shule si mkatoliki otherwise asingechukulia hatua yeyote, hata hivyo kwa ukristu wake ameshinda rufani ya kufutiwa matokeo.

ukija kwenye shule za waislam umedai walimu ni waislam nakubali Mlalahoi lakini wasahishaji wa mitihani ni makasisi na ma fathers hapo ndio tunapigwa buti. hatulalamiki tu na vitendo tunafanya tunajitahidi hadi misikitini tunaweza nursery mheshimiwa. na JK tumeanza kumuomba mahakama ya kadhi ila mnatuwangia halafu badaye mje kutucheka mlifamnya nini na JK na hata Salmini Amour alipokuwa anatuletea OIC kwa maslahi ya nchi simlitupiga buti chini ya kaptain mwalimu Nyerere sasa tutapata vipi maendeleo ndugu zanguni?

MKANDARA
Abood Jumbe Mwinyi ndiye mdhamini wa Zanzibar University na ndiye aliyekileta kile chuo na kinasaidia sana hivyo aliyemsingizia Mzee Jumbe hajafanya kitu muongo.

Nyerere alifanya kila mbinu kuhakikisha ZNZ hawawi na Chuo kikuu kisa kuna waislam(mzee alikuwa na udini wa kijinga).

Una akili sana.
 
Sio kweli hiyo ni inferiorit complex ya waleeeeee eti wakristu wanapata majibu mbona wanaopata ziro ni wakristu pia au mnataka kuwa spesho group?
Leta ushahidi tuamini kama ni kweli
 
Huo ni ufinyu wa kufikiri,kupata A O'level haimaanishi utafaulu A'level vizuri.Sitaki kuamini pia kwamba mitihani ya kiislamu inasahihishwa na Makasisi,hebu fanya utafiti wako upya usitupe sumu.
 
Yani du! Almas umechoka. Akiwekwa mwislam ndo kutakuwa na nn.....ah! Napoteza mda kujadili
 
Back
Top Bottom