Recent content by mchanga mchanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kangi Lugola, nani kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani?

    Tuna shukuru sana kwani alizidi kutujambisha sana watu wa Nida . Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Harmonize: A request of a boss is an order

    Jamani anacho kifanya huyu Harmo ni uvunjifu wa sheria kwani tandahimba yupo mbunge sasa na yeye kila siku anajinadi kwamba yeye ni mbunge.huku ni kuvunjwa kwa sheria na taratibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi CRDB

    Na watangazia kutakuwa na treni ya abiria kutoka moshi mpaka dar Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania, Naandika kwa Uchungu Mkubwa

    Kwa story hii sioni pa kumtoa machozi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wengine bodi ya Vodacom Tanzania watangaza kujiuzulu

    Mfugaji lazima apate kuku na mayayi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nani anapandisha Bendera ya Taifa kwenye kilele cha Kilimanjaro peak na kuishusha kila siku?

    Nianze kwa kuwasalimia wakubwa na wadogo kwa salamu ya Mambo vipiiii? Kwa muda mrefu nimekua najiuliza bendera yetu iliyopo kwenye kilele cha mlima Kilimanjoro (kilimanjaro peak) ni nani hupandisha kila saa kumi na mbili za asubuhi na ni nani huishusha saa kumi na mbili jioni.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maadui watatu wa taifa ni umasikini, ujinga na maradhi; mpaka sasa tumemtokomeza yupi?

    Maadui wakuu watatu wakati tunapata uhuru ni umasikini, ujinga na maradhi. Naomba wadau mnijuze ni yupi kati ya maadui wetu hawapo tena leo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa siamini kama mtu anaweza park gari kwa kukosa mafuta, yamenikuta!

    Kwa kishindo cha awamu 5.utapitia mambo mengi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

    Sasa bora kwenda Moshi na tren au kwenda na daladala la Buza Muhimbili?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Mbwana Samatta apewe mtaa Dodoma

    Kwa heshima na taadhima nawaomba wakuu wangu wa serikali ya awamu ya 5 mfikirie kumpatia kijana wetu Mbwana Ally Samatta mtaa katika jiji la Dodoma, kutokana na mchango wake mkubwa katika soka letu la Tanzania. Samatta ni balozi wetu pekee kwenye mashindano ya UEFA, michuano mikubwa barani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

    Uzuri wa mke na ukaguzi wa hesabu unaingiaje tena ?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Mo ni tajiri kumzidi Bakhresa?

    Jamani utajili sio kama makalio.huyu mnyaturu hana lolote zaidi ya blabla tu .20b .pale simba Sc.wanazisikia tu.Uwanja wa Bunju nao ni Stori
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa product ya Mo ukwaju

    Kwenye maisha kuiga ni jambo jema itategemea unaiga zuri au baya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Patrick Moshi, amwomba Rais Magufuli msaada

    Wadaiwa wote sasa ni kwa .mh Rais twakimbilia
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fani ya utangazaji imevamiwa

    Kubakwa kwa fani
Back
Top Bottom